List ya Matajiri 10 katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) mpaka Juni 26, 2023

List ya Matajiri 10 katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) mpaka Juni 26, 2023

Wachaga hoyeee!!!!
Ila Magu aliwachukia sana wachaga sijui ni kwa nini…!!
Ila kuna minjemba haijui cha hisa wala benk!
Pesa wanawaka kwenye ndoo, wanapesa nyingi hao waliotatwa hawawafikii hata robo!

Hakuna watu wa namna hio hapa tanzania [emoji1241]. Watu wa model hizo wapo huko italy, South America labda na ulaya mashariki kwasababu wao ni macartel ya uuzaji wa madawa ya kulevya na uuzaji illegal wa silaha. Huwezi hifadhi billion moja ardhini. Hao wanaoweka pesa kwene ndoo hawana hela hata ya 1% kuwazidi hao miamba waliotajwa. Hivi unaijua thamani ya $23.4 million ikiwa converted kwene toilet paper za kitanzania?.
 
Wachaga wanachukiwa tuu bure
..ila ni wawekezaji...mimi mwwnyewe siwapendi.
 
Ukweli ni kwamba ukiondoa waarabu na wahindi hapa kwetu hakika wachaga wanatisha wana pesa sana
ni aina ya uwekezaji wao..wengine wanaweza kuwa nazo lakini wamezilalia au kuoa wanawake na kuwa na makundi ya ngombe makubwa yasiyo na faida ya ifedha au utimamu wa kusimamia kama hao walowekeza kwenye hisa...
 
Hakuna watu wa namna hio hapa tanzania [emoji1241]. Watu wa model hizo wapo huko italy, South America labda na ulaya mashariki kwasababu wao ni macartel ya uuzaji wa madawa ya kulevya na uuzaji illegal wa silaha. Huwezi hifadhi billion moja ardhini. Hao wanaoweka pesa kwene ndoo hawana hela hata ya 1% kuwazidi hao miamba waliotajwa. Hivi unaijua thamani ya $23.4 million ikiwa converted kwene toilet paper za kitanzania?.

Wewe unasema kitu ambacho hujui wewe!!!
Hivi unawajua wamasai wewe?
Wasukuma je, wale wa ndani ndani huko ambao hata shule hawana...wanang'ombe zaidi ya 20000 na mashamba makubwa unawafahamu vizuri?
Hao watu wakipata shida ya 1b ndani ya muda mfupi wanaitoa, na wala si kwa kukopa ama kwenda kudraw bank!
Hao waliotajwa hapo wa mwisho ana $720K sawa na 1.7b tsh!
Kuna miamba ndani ina zaidi 10b hiyo ni asilimia ngapi ya huyo mwenye $720k?
Mfano mzuri tu kuna mwamba mmoja yupo Mkoa fulani anafanya biashara ya kuuza nyama ana uwezo wa kwenda kununua ng'ombe umasaini wa zaidi ya million 500 hajawahi kumiliki bank account, na pesa anabeba kwenye bag wakati anaenda kununua!
 
We msukuma ni kenge 1. Hakuna mtu wala taasisi yoyote nchi hii iliyo na umiliki wa hao n’gombe 20,000. Twende kwa takwimu kama walivyofanya wenzio sio braah braah za kusadikika kuwa “kuna watu” si uwataje hapa!!. Sio unaandika andika tu au umevimbewa mavi ya n’gombe na viazi mbatata. Mashamba yapi hayo maana masai halimi na msukuma halimi kilimo cha biashala. Sijajua elimu yako ikoje ila huenda ni lasaba failure hivi huoni $23.4 million ukiigeuza kwene shillingi ni zaidi ya billion 48 za kitanzania. Hans macha ni zaidi ya billion 13 za kitanzania. Wewe unakuja na habari za tun’gombe mala kuna miamba ina zaidi ya billion 10 huko ndani ndani, nakuhakikishia hakuna mtu huyo si masai wala ngosha anayo hio fedha maporini huko wanakolalia ngozi na majengo mabovu yasiyo hata na choo wala umeme, ndoa za mitaala na udumavu wa akili. Huyo mwene huto tu bucha ndio nani huyo ananunua nyama za million jero. We jamaa ni mpuuzi wa story za zamani.
 
We msukuma ni kenge 1. Hakuna mtu wala taasisi yoyote nchi hii iliyo na umiliki wa hao n’gombe 20,000. Twende kwa takwimu kama walivyofanya wenzio sio braah braah za kusadikika kuwa “kuna watu” si uwataje hapa!!. Sio unaandika andika tu au umevimbewa mavi ya n’gombe na viazi mbatata. Mashamba yapi hayo maana masai halimi na msukuma halimi kilimo cha biashala Sijajua elimu yako ikoje ila huenda ni lasaba failure hivi huoni $23.4 million ukiigeuza kwene shillingi ni zaidi ya billion 48 za kitanzania. Hans macha ni zaidi ya billion 13 za kitanzania. Wewe unakuja na habari za tun’gombe mala kuna miamba ina zaidi ya billion 10 huko ndani ndani, nakuhakikishia hakuna mtu huyo si masai wala ngosha anayo hio fedha maporini huko wanakolalia ngozi na majengo mabovu yasiyo hata na choo wala umeme, ndoa za mitaala na udumavu wa akili. Huyo mwene huto tu bucha ndio nani huyo ananunua nyama za million jero. We jamaa ni mpuuzi wa story za zamani.

Sasa unaandika kwa hasira za nini?
Hayo matusi yako uliyoandika humo yanaonyesha una mtindio wa ubongo na umejaa wivu kuona nilichoandika, na zaidi unaonyesha una umaskini wewe na ukoo wenu!

Unasema wasukuma hawalimi mazao ya biashara, kumbe hujui chochote… hivi pamba ni zao la chakula?

Sijakutusi popote, lakini eti unaniita kenge..!??
Hivi unaakili timamu kweli? Na kama mimi ni la saba failure hebu weka vyeti vyako hapa tuone ulivyofaulu basi!

Btw sihitaji kubishana na mtu asiyejielewa kama wewe maana hata kuandika hujui, ni vyema huo muda uliotumia kuandika hiyo takataka yako ungeutumia kujifunza kuandika!
Nikushauri tu, pitia vizuri hiyo takataka uliyoandika ujifunze ulipokosea, ufanye marekebisho mfano; mala[emoji777] mara[emoji736]
Biashala[emoji777] biashara[emoji736] n.k!
 
Safi sana wachaga, wakinga vipi au pesa zetu za manyaunyau.

Hizi ligi kubwa Wakinga hawaziwezi...

Hela zao za urithi wa mashamba ya miti wakiongeza na imani za kishirikina haziwezi kuwapeleka kwenye ligi za Hisa.

Maana elimu ya shule na wakinga ni mbali mbali
 
Sasa unaandika kwa hasira za nini?
Hayo matusi yako uliyoandika humo yanaonyesha una mtindio wa ubongo na umejaa wivu kuona nilichoandika, na zaidi unaonyesha una umaskini wewe na ukoo wenu!

Unasema wasukuma hawalimi mazao ya biashara, kumbe hujui chochote… hivi pamba ni zao la chakula?

Sijakutusi popote, lakini eti unaniita kenge..!??
Hivi unaakili timamu kweli? Na kama mimi ni la saba failure hebu weka vyeti vyako hapa tuone ulivyofaulu basi!

Btw sihitaji kubishana na mtu asiyejielewa kama wewe maana hata kuandika hujui, ni vyema huo muda uliotumia kuandika hiyo takataka yako ungeutumia kujifunza kuandika!
Nikushauri tu, pitia vizuri hiyo takataka uliyoandika ujifunze ulipokosea, ufanye marekebisho mfano; mala[emoji777] mara[emoji736]
Biashala[emoji777] biashara[emoji736] n.k!

Bwana mdogo we ni nya kweli kweli. Huna hoja wenzio tumeenda na takwimu sio ujinga jinga wa vijiweni kwenu bariadi. Licha ya ukapuku wako na ukoo wako hata ukweni kwako nao ni makapuku vilevile.
 
Hongera Wachaga Kwa kutuwakilisha ngozi nyeusi
Wachaga hawajawahi kukosena kwenye list za maana kama hizi.

Ila ukita list ya vigoro na visingeli Sasa.......
 
Ifuatayo ni list ya matajiri 10 katika soko la hisa la dar es salaam (DSE) mpka kufikia siku ya tarehe 26-06-2023, kama ilivyoandikwa na THE BUSINESS WIZ siku ya tarehe 30-06-2023.

The 10 richest Tanzanians on the Dar es Salaam Stock Exchange​

Patrick Schegg a former Hedge fund manager, owns the most valuable portfolio on the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) with his net worth valued at $23.5 million according to latest ranking of the wealthiest Tanzanian investors on the DSE done by Billionaires.Africa

The data used for this analysis is sourced from our data provider, S&P Global Market Intelligence, as well as publicly available documents and disclosures.

The valuation of their shares is determined by the prices recorded at the close of trading on June 26, with the valuations converted to U.S. dollars at the prevailing exchange rates.

It is important to note that Billionaires.Africa focuses on individual ownership rather than multi-generational family fortunes. In cases where the breakdown of ownership among siblings or couples is unclear, we attribute the fortune to the most prominent and visible member of the family.

Here are the 10 individuals who currently hold the highest stock ownership positions on the DSE.
1. Patrick Schegg

Net worth on the DSE: $23.5-million

Holdings: NMB Bank PLC, CRDB Bank PLC

Patrick Schegg, a former Hedge fund manager, owns the most valuable portfolio on the Dar es Salaam Stock Exchange. He holds a 1.94-percent stake in commercial bank CRDB and a 0.99-percent stake in NMB Bank. His shares in both banks are worth $ 23.5 million.

2. Aunali Rajabali

Net worth on the DSE: $23.4-million

Holdings: NMB Bank PLC

The Tanzanian tycoon founded Plasco Tanzania, a manufacturer of HDPE and UPVC pipes and fittings. Aunali and his brother, Sajjad Rajabali, own a 3.1-percent stake in NMB Bank.

3. Sajjad Rajabali
Net worth on the DSE: $23.4-million

Holdings: NMB Bank PLC

Sajjad Rajabali, like his brother Aunali, owns a 3.11 percent stake in NMB Bank PLC.

4. Hans Macha

Net worth on the DSE: $6.4-million

Holdings: CRDB Bank

Hans Aingaya Macha, a Tanzanian entrepreneur in the hospitality sector, is one of the largest shareholders of CRDB Bank PLC. His 1.25-percent stake is worth $6.4-million.

5. Ernest Massawe

Net worth on the DSE: $5.3-million

Holdings: TOL Gases Limited

Ernest Massawe is the founder and former managing partner of what is now EY Tanzania and former chairman of the Tanzania Association of Accountants. He owns a 32.49-percent stake in TOL Gases Limited. His stake is worth $ 5.3 million.

6. Murtaza Nasser

Net worth on the DSE: $2.7-million

Holdings: Tanzania Portland Cement

Murtaza Nasser owns 0.9% of Tanzania Portland Cement. His shareholding has a current value of $ 2.7 million.

7. Sayed Kadri

Net worth on the DSE: $2.1-million

Holdings: Tanzania Portland Cement, Swissport Tanzania, Tanzania Cigarette Public Limited

Tanzanian entrepreneur Sayed Kadri has a stock portfolio on the Dar es Salaam bourse that includes 0.59 percent of Tanzania Portland Cement, 0.5 percent of Swissport Tanzania, and 0.004 percent of Tanzania Cigarette Public Limited.

8. Said Bakhresa

Net worth on the DSE: $1.5-million

Holdings: Tanzania Portland Cement

Bakhresa, one of Tanzania’s wealthiest men, owns a 0.51% stake in Tanzania Portland Cement worth $ 1.5 million.

9. Arnold B.S Kilewo

Net worth on the DSE: $1.1-million

Holdings: 5.68-percent of TOL Gases, 0.013-percent in Tanzania Breweries

10. Harold Temu

Net worth on the DSE: $$720,000

Holdings: TOL Gases.

Source: Billionaires. Africa

Tumejua who is who
 
Bwana mdogo we ni nya kweli kweli. Huna hoja wenzio tumeenda na takwimu sio ujinga jinga wa vijiweni kwenu bariadi. Licha ya ukapuku wako na ukoo wako hata ukweni kwako nao ni makapuku vilevile.

Kuwa na heshima dogo!
Jf yenyewe umeijua juzi tu, unaniita Bwana mdogo!
Halafu nikujuze tu mimi wala siyo mtu wa huko unakosema!
Nikujulishe tu pia hizo takwimu unazotaka nilete, hao wenye pesa zao wangetaka takwimu zao ziainishwe kwa kutaka show off si wangejitaja tu wenyewe kwenye media, mimi kwa nini niwataje bila idhini?

Unakuja na poor defensive mechanism za kujifanya unajua matusi wakati huna tusi jipya, zaidi inaonyesha ulivyopanic, sema nikupe matusi mapya!!

Sawa mimi na ukoo ni makapuku, unapata ujasiri wa kuyasema hayo kwa kuwa umejificha nyuma ya keyboard na hicho kitekno chako!
Btw humu jf kuna watu tunafahamiana live, na wakiona hicho ulichoandika juu yangu wanakupuuza tu!
Kiufupi wewe ni wa kupuuza na kidiploma chako uchwara!
 
Wachaga hoyeee!!!!
Ila Magu aliwachukia sana wachaga sijui ni kwa nini…!!
Ila kuna minjemba haijui cha hisa wala benk!
Pesa wanawaka kwenye ndoo, wanapesa nyingi hao waliotatwa hawawafikii hata robo!
Hao wakinga ndio zao
 
Back
Top Bottom