List ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa

List ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Wakuu, katika kuzunguka kwangu hapa Tanzania nimefanya kautafiti kadogo kuhusu pisi kali, na nimekuja na orodha ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa hapa Tanzania.

1. Mbeya
2. Katavi
3. Rukwa
4. Kigoma
5. Simiyu
6. Lindi
7. Geita
8. Mtwara

Muwe na usiku mwema
 
Wakuu,katika kuzunguka kwangu hapa Tanzania nimefanya kautafiti kadogo kuhusu pisi kali,na nimekuja na orodha ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa hapa Tanzania.
1.Mbeya
2.katavi
3.Rukwa
4.Kigoma
5.simiyu
6.Lindi
7.Geita
8.Mtwara
Muwe na usiku mwema
Simiyu mkuu kuna pisi za kwenda huko bariadi, kishapu huko kuna wanyantuzu weupee hatar hasa upande unaopakana na manyara...mbeya ni ukweli mtupu , vigimbi tuu vimejaa kule
 
Back
Top Bottom