List ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa

List ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa

Wakuu,katika kuzunguka kwangu hapa Tanzania nimefanya kautafiti kadogo kuhusu pisi kali,na nimekuja na orodha ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa hapa Tanzania.
1.Mbeya
2.katavi
3.Rukwa
4.Kigoma
5.simiyu
6.Lindi
7.Geita
8.Mtwara
Muwe na usiku mwema
Hujatembea Mbeya ,kule kwa wenye ile mizigo tunayo penda sisi watu Wafrica ndio nyumbani.
 
Back
Top Bottom