List ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa

Ukiona msukuma mrembo (mweule) asilimia kubwa ni mnyantuzu (Simiyu).
 
Hakuna boss Town kabisaa.
Pisi za Zenji 99% ni nyembamba balaa
Pisi za Zenji hazina msambwanda ni flat za kufa mtu japo zina miguu minene
Pisi za Zenji zina makanyagio makubwa.
Pisi za Zenji haziko romantic
Lakini c zina bikira? [emoji39]
 
LINDI inatakiwa iwe namba moja[emoji23]
Yan lindi hakuna pisi kabisaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama baujatembea unaweza kaaa kimya, lindi, mtwara na kigoma watoe kabisa kwenye list hiyo. Tuache sis wa mbeya tunajijua wenyew uzur wetu upo kwa mashep na akili mingi over
 
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ nduki
 
Attachments

  • P-IMG-20230213-WA0077.jpg
    47.3 KB · Views: 10
Simiyu mkuu kuna pisi za kwenda huko bariadi, kishapu huko kuna wanyantuzu weupee hatar hasa upande unaopakana na manyara...mbeya ni ukweli mtupu , vigimbi tuu vimejaa kule
Na vitambiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hakuna boss Town kabisaa.
Pisi za Zenji 99% ni nyembamba balaa
Pisi za Zenji hazina msambwanda ni flat za kufa mtu japo zina miguu minene
Pisi za Zenji zina makanyagio makubwa.
Pisi za Zenji haziko romantic
Sasa msambwanda utakusaidia nini? sie tunaridhika kuona uzuri wa sura na nywele zao unatutosha kbs, hatuna haja ya kunukishana harufu mbaya zaa misambwanda tukiwa 6*6...πŸ˜†
 
Sasa msambwanda utakusaidia nini? sie tunaridhika kuona uzuri wa sura na nywele zao unatutosha kbs, hatuna haja ya kunukishana harufu mbaya zaa misambwanda tukiwa 6*6...πŸ˜†
Wengi wape sheykhee😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…