List ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa

Mnyarwanda aliyejivika UHA wa Kigoma
Huwajui waha (wa Manyovu)
Kifupi kiwatofautisha waha, warundi na wanyarwanda ni kazi mno, wanafanana kila kitu (lugha, muonekano na tamaduni)
Waha ni wazuri sana hasa wa Manyovu. K-lyn ni wa Manyovu
 
Semw mbeya mkuu hebu watoe maana kuna wale wa mbuzi hata sura anayo,ila sasa huko kwengine siongei.[emoji4]
 
mama nee angali wewe dadazako wangeambiwa ni wabaya ungefanyaajee.jamani huyu jeee?
 
Niliwahi enda mtwara wakati huo nipo bongo niliwahi lala na pisi moja kali sana maji ya kunde siisahau mpaka leo yule binti mariamu mtoto mweupe peee ila kitandani alinipiga knock-out nilikojoa magoli matatu ndani ya nusu saa nilijuta kuzaliwa, mtoa uzi acha uongo.. ni vile tu huna pesa za nauli za kuzunguka mikoa yote ya Tanzania na umejaa wasiwasi wa kufa na ajali za mabasi... ebu tembea ujionee.. maaana hata saivi utasema bongo pekeee ndio kuna pisi kali ila ukweli ni kwamba duniani kuna pisi kali mpaka shetani mwenyewe akiwaona anakimbiaaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…