Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Huwajui waha (wa Manyovu)Mnyarwanda aliyejivika UHA wa Kigoma
Kifupi kiwatofautisha waha, warundi na wanyarwanda ni kazi mno, wanafanana kila kitu (lugha, muonekano na tamaduni)
Waha ni wazuri sana hasa wa Manyovu. K-lyn ni wa Manyovu