List ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa

Mleta mada naona hauko sahihi kila sehemu ina wanawake wenye uzuri wa aina yao. Na kibaya zaidi uzuri ni kutokana na jinsi mtu anavyochukulia kuna mtu akiona dem ana tako basi ni mzuri kuna mtu akiona dem mweupe basi ni mzuri kwahyo kila mmoja wetu ana namna yake ya kutafsiri uzuri
 

Bila mkoa wa pwani na visiwani(zenji) hii list ni feki,daah mademu wa mikoa hii wote wamepigwa pasi.
 
Nakuunga mkono

Hiyo mikoa mingine yote nimefika isipokuwa Geita, hakuna kitu
 
Hivi unapata wapi ujasiri wa kuweka maelezo muhimu hivi bila picha?
 
Mbeya wadada si wazuri nakubaliana na wewe
Ni weusi Wana vitambi hawavutii sana mimi ni mtu wa mbeya nakubaliana na wewe
That's why wanaume wa mbeya wanakimbilia kuoa uchagani na wanapigika vibaya mno
Lakini mungu hakunyimi vyote they have good asses aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…