List ya "Single Girls" ndani Ya Jf..

List ya "Single Girls" ndani Ya Jf..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kweli maneno yametuisha na anachamba yule mama alimpa husna makavu aisee mpk huruma
We wapi huko alimpa makavu!! Ama kweli kuruka stage kubaya!!
 
mm naona nitakua mama akee bibi espy [emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Alafu yule mmama atakuwa mama yake, japo hata sasa ilitakiwa awe mama yake[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Alafu yule mmama atakuwa mama yake, japo hata sasa ilitakiwa awe mama yake[emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mamdogo naona umewahi siti ya mbele. Vipi umemwekea na dada yangu siti maana yule hapitwi.

Cc espy.
Sasa Charlie vipi kumbe una mamdogo humu yupo singo alaf hunishtui PM Unataka ban eti [emoji51][emoji51]? Haya embu sema unatumia kinywaji gani
 
Sasa Charlie vipi kumbe una mamdogo humu yupo singo alaf hunishtui PM Unataka ban eti [emoji51][emoji51]? Haya embu sema unatumia kinywaji gani
Natumia mataputapu au kama makatabreak kama yapo mkuu.

Naona mpo wengi kweli mnaommendea mwanangu
 
Back
Top Bottom