Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bibi sitaki, ni either niwe mama,mwanao au dada baaaasi.
sas umefata nn isee umeambiwa single wa coment sas ww album vp humHapana mkuu
Unamjua daby unamsikia!!! Pale ana malengo, yakitimia tutasikia mengine.hahahhaha lkn naona hawezi kutoka pale kaingia miguu yote miwili
We wapi huko alimpa makavu!! Ama kweli kuruka stage kubaya!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kweli maneno yametuisha na anachamba yule mama alimpa husna makavu aisee mpk huruma
[emoji3] [emoji3] [emoji3]mm naona nitakua mama akee bibi espy [emoji23][emoji23]
urudi unaenda wapiii[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
kwenye uzi wao husna kabaki sawa tu mpk akaanza kumwita Daby mkuu hahhahahWe wapi huko alimpa makavu!! Ama kweli kuruka stage kubaya!!
usiniambie mbona naona kama kafika paleUnamjua daby unamsikia!!! Pale ana malengo, yakitimia tutasikia mengine.
Ningekujibu lakini naliheshimu sana neno great thinkers.sas umefata nn isee umeambiwa single wa coment sas ww album vp hum
ukishaambiwa bikraa pekeebxax ww na holi lako unaenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3]
Alafu yule mmama atakuwa mama yake, japo hata sasa ilitakiwa awe mama yake[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mimi niko single and a half!!!
Kuna mtu namnyemelea humu!!!
Sasa Charlie vipi kumbe una mamdogo humu yupo singo alaf hunishtui PM Unataka ban eti [emoji51][emoji51]? Haya embu sema unatumia kinywaji gani
Hmmh huu uzi ubarikiwe maana nasikia harufu ya mke mwema humu [emoji4][emoji4][emoji4]Mmh. Haya,tugawie hizo pesa mie single lady
Natumia mataputapu au kama makatabreak kama yapo mkuu.Sasa Charlie vipi kumbe una mamdogo humu yupo singo alaf hunishtui PM Unataka ban eti [emoji51][emoji51]? Haya embu sema unatumia kinywaji gani
Hii kauli imekaa kichochezi Kwahyo subir ban Aseemimi ni single na bikra