Pumnavu zao sana. Tanzania hii unaongelea watu wenye nguvu za ushawishi unawezaje kumuacha
Maxence Melo ?
Hao wote waliowekwa hapa wanajulikana tu kwa nature ya kazi na mazingira yao lakini hawana nguvu yoyote ile kiushawishi. Watu wanapenda muziki siyo wao waliowafanya watu wapende muziki. Wanatoa habari, so wanawahabarisha tu watu mambo yanayoendelea duniani kama yalivyo hiyo haimaanishi kwamba hiyo ni nguvu ya ushawishi.
List ya kipumbavu kabisa. Yupo wapi Baloteli (Afande Kiwi) hapo? Yule mwanajeshi mrefu mweusi wa keenye gwaride la Kimya kimya? Yupo wapi yule afande wa kike mweupe anayeongoza gwaride la kimya kimya? Yupo wapi
Malisa Godlisten ? Yupo wapi Joseph Mbilinyi (Sugu), yupo wapi Edo Kumwembe? Yupo wapi Baby Kanae (Sister Dre)? Yupo wapi Mange Kimambi? Yupo wapi John Mongela? **** wenye fake IDs kama vile
Malcom Lumumba The bold mshana jr ONTARIO Nguruvi3 (Labda sababu ya fake IDs tunaweza tusiwe na uhakika wa umri wao, tuwaache hao).
Kuna vijana wengi sana wameachwa hapo, waliopo kwenye hiyo list mimi maona ni either maarufu tu au waliifanikiwa lakini si wenye Ushawishi.