Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Sioni vijana bali wazee wa makamo waliochelewa kuoa na kuolewa, ko weingi sio vijana hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na hela kushinda baadhi ya vijana wa mjini ama una jina kubwa hata ukiwa 55 wewe ni kijanaMgeweka na umri wao tujue kama kweli ni vijana au...
Hiyo orodha imejaa over 40 kibao... Wangesema wenye muonekano wa ujana.
Na huku upo mkuuMsimvimbishe kichwa Alikiba.. Diamond ni next level... Hao wote kwenye list ukichanganya ndururu zao hazifiki hata nusu ya Mondi
Hahaha Le kibamiazhao wte hamna kitu sasa hv anayeongoza sasa hv ni lemutuz
Ndo Shomary KapombeShomari kapombe ndo nani
Chanzo ni Clouds Media, Facebook
Mbwana Samata ameongoza list ya vijana 50 wenye ushawishi nchini Tanzania, Millard Ayo ashika nafasi ya 3, Ali Kiba amfunika Diamond Platnumz
View attachment 677091
Kale ni kazeeUshawishi wa nini? Kuvuta Shisha, Mo dewji ni mzee siku hizi? Halafu simuoni Yule WA uenezi kutoka green, hivi sio kijana Yule?
Tunaambiwa Makonda ni maarufu kwa nini hayumo humo?Consigliere naomba nomination niwepo kwenye list pls.. Huyo kwenye avatar ni mimi na jina ni langu... Umoja ni nguvu tufanye jitihada na JF tupate wa kwetu kwenye hiyo list[emoji144] [emoji144] [emoji144]