List ya Wabunge wa CCM ambao hawatarudi Bungeni 2025

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Hi great Thinkers.

Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare..

Tuna Wabunge wengi zaidi ya 300 ila mimi naanza na hawa.

1. Job Ndugai.
2. Kassim Majaliwa.
3. Bashiru Ally
4. Paramagamba Kabudi.
5. Lukuvi
6. Patrobasi katambi
7. Mrisho Gambo
8. Mbunge wa Misungwi.(Mnyeti)
9. Mbunge wa Ngorongoro
10. Jerry Slaa
11.Mbunge wa segerea (Bonah).
12.Taletale

List ni kubwa sana nawaachia wanajukwaaa wengine waendelee kuleta hayo majina.

Tahadhari.
Vua gamba vaa gwanda inakuja 2025 itakuwa ni kivumbi na jasho
Asanteni.

Uzi huu Siyo Masihara uendelee kuwepo.
 
Kangi yupi?
 


Nakazia 6
 
Mwita Waitara
Stephen Byabato
Kilumbe Ng'enda
Saasisha Mafuwe
Wa Moshi mjini
Jeska Msambatavangu
Prof Mkumbo
 
Wote wanaweza kurudi. Ni muhesabu kura na mtangazi ushindi ndio kwa Tanzania anaamua mshindi.

Hiyo tume, mamlaka, wajumbe inachaguliwa na iko chini ya Mwenyekiti wa CCM.
 
Wote wanaweza kurudi. Ni muhesabu kura na mtangazi ushindi ndio kwa Tanzania anaamua mshindi.

Hiyo tume, mamlaka, wajumbe inachaguliwa na iko chini ya Mwenyekiti wa CCM.
Jaribu kwanza kufuatilia kwa makini hayo majina
 
Lukuvi lile jimbo atakufa nalo hakuna anaeweza kumtoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…