yvegenc prymacov
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,530
- 1,961
Kwa nn unafikiri kumchagua kabudi ni ujinga?Paramagamba anarudi maana jimbo la kilosa linagawanywa, kutakuwa na jimbo la kilosa na jimbo la Dumila. Yeye anagombea Dumila, which is obviously atapita, watu wa huko wengi ni wajinga.
Ambaye harudi ni yule wa Mwanga, someone Tadayo sjui, mtoto wa Msuya yule. Hakuna kitu anafanya kule.