List ya Wabunge wa CCM ambao hawatarudi Bungeni 2025

Hi great Thinkers.

Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare..

Tuna Wabunge wengi zaidi ya 300 ila mimi naanza na hawa.

1. Job Ndugai.
2.Kassim Majaliwa.
3. Bashiru Ally
4. Paramagamba Kabudi.
5. Lukuvi
6.Patrobasi katambi
7 Mrisho Gambo.
8.Mbunge wa Misungwi.(Mnyeti)
9.Mbunge wa Ngorongoro
10. Jerry Slaa
11.Mbunge wa segerea (Bonah).
12.Taletale

List ni kubwa sana nawaachia wanajukwaaa wengine waendelee kuleta hayo majina.

Tahadhari ..
Vua gamba vaa gwanda inakuja 2025 itakuwa ni kivumbi na jasho
Asanteni..

Uzi huu Siyo Masihara uendelee kuwepo.
13. Covid-19
14. Dr. Kimeya
15. Nepi
16. Dr. Betina
17. Deo sangari
18. Kiti Makumbo
 
Hi great Thinkers.

Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare..

Tuna Wabunge wengi zaidi ya 300 ila mimi naanza na hawa.

1. Job Ndugai.
2.Kassim Majaliwa.
3. Bashiru Ally
4. Paramagamba Kabudi.
5. Lukuvi
6.Patrobasi katambi
7 Mrisho Gambo.
8.Mbunge wa Misungwi.(Mnyeti)
9.Mbunge wa Ngorongoro
10. Jerry Slaa
11.Mbunge wa segerea (Bonah).
12.Taletale

List ni kubwa sana nawaachia wanajukwaaa wengine waendelee kuleta hayo majina.

Tahadhari ..
Vua gamba vaa gwanda inakuja 2025 itakuwa ni kivumbi na jasho
Asanteni..

Uzi huu Siyo Masihara uendelee kuwepo.
wote hawatorudi isipokuwa watarudishwa na NEC
 
Wote wanaweza kurudi. Ni muhesabu kura na mtangazi ushindi ndio kwa Tanzania anaamua mshindi.

Hiyo tume, mamlaka, wajumbe inachaguliwa na iko chini ya Mwenyekiti wa CCM.
Tume ndiyo inaamua mshindi na siyo wananchi
 
Huyu inaonekana amekera raia wengi sana

Vibaya mno, barabara inapita jimboni kwetu inafika mpaka jimbo la Gwajima lakini Gwajima ndio anaizingumzia kuliko mbuge ambae barabara inachukua almost asilimia 70 ya jimbo lake.
 
Hi great Thinkers.

Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare..

Tuna Wabunge wengi zaidi ya 300 ila mimi naanza na hawa.

1. Job Ndugai.
2.Kassim Majaliwa.
3. Bashiru Ally
4. Paramagamba Kabudi.
5. Lukuvi
6.Patrobasi katambi
7 Mrisho Gambo.
8.Mbunge wa Misungwi.(Mnyeti)
9.Mbunge wa Ngorongoro
10. Jerry Slaa
11.Mbunge wa segerea (Bonah).
12.Taletale

List ni kubwa sana nawaachia wanajukwaaa wengine waendelee kuleta hayo majina.

Tahadhari ..
Vua gamba vaa gwanda inakuja 2025 itakuwa ni kivumbi na jasho
Asanteni..

Uzi huu Siyo Masihara uendelee kuwepo.
Hizi ni ndoto tu baada ya kushiba.
 
Hi great Thinkers.

Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare..

Tuna Wabunge wengi zaidi ya 300 ila mimi naanza na hawa.

1. Job Ndugai.
2. Kassim Majaliwa.
3. Bashiru Ally
4. Paramagamba Kabudi.
5. Lukuvi
6. Patrobasi katambi
7. Mrisho Gambo
8. Mbunge wa Misungwi.(Mnyeti)
9. Mbunge wa Ngorongoro
10. Jerry Slaa
11.Mbunge wa segerea (Bonah).
12.Taletale

List ni kubwa sana nawaachia wanajukwaaa wengine waendelee kuleta hayo majina.

Tahadhari.
Vua gamba vaa gwanda inakuja 2025 itakuwa ni kivumbi na jasho
Asanteni.

Uzi huu Siyo Masihara uendelee kuwepo.
Haina shida si wanarudi wa chama Chao
 
Yule Betina tulia namhitaji sana asirudi bungeni mdada anachokibri balaa
 
Hi great Thinkers.

Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare..

Tuna Wabunge wengi zaidi ya 300 ila mimi naanza na hawa.

1. Job Ndugai.
2. Kassim Majaliwa.
3. Bashiru Ally
4. Paramagamba Kabudi.
5. Lukuvi
6. Patrobasi katambi
7. Mrisho Gambo
8. Mbunge wa Misungwi.(Mnyeti)
9. Mbunge wa Ngorongoro
10. Jerry Slaa
11.Mbunge wa segerea (Bonah).
12.Taletale

List ni kubwa sana nawaachia wanajukwaaa wengine waendelee kuleta hayo majina.

Tahadhari.
Vua gamba vaa gwanda inakuja 2025 itakuwa ni kivumbi na jasho
Asanteni.

Uzi huu Siyo Masihara uendelee kuwepo.
Almost 90% , Halafu Kasimu Majaliwa hakushinda Ubunge , alipita bila kupingwa baada yakila aliyempinga kutekwa , eti PM anapita bila kupingwa ! sijawahi kuona !
 
Kangi Lugola ni Mbunge wa wapi?! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji91]
Huyu yumo kweli ?

SURATI%20ZUBAA%20%20Ndio%20surati%20zubaa%2C%20pengine%20tumesomewa%2C%20Sivyo%20tusingebung'a...jpg
 
Back
Top Bottom