List ya Wabunge wa CCM ambao hawatarudi Bungeni 2025

List ya Wabunge wa CCM ambao hawatarudi Bungeni 2025

Kundi lote lililojipambanua kama Sukuma Gang, linaloundwa na wabunge wanaoamini Magufuli aliuliwa kwa sumu na mahasimu wake Kinana, Makamba, et al nalo nje asubuhi na mapema
 
Kwa tume ipi, NEC ipo chini ya nani, mwenyekiti wake ametokana na nani? Huyu mwenyekiti anajibu kwa nani? Kifupi maccm yanaamua nani akae wapi, nani apumzike coz ameshiba, nk.

Tuna katiba mbovu sana kuwahi kutokea. Kikwete aliteketeza mabilioni ya shilingi kwenye katiba na hakuna kilichopatikana, he's 🗑 🚮
 
Ngoja na mimi niweke utabiri wangu:
1. Tulieni
2. Nduguzanguni
3. sukumawiki
4. Taletale
5. Mbunge wa Uk
6. Gamba la nyoka
7. Nepi
9. February Marope
9. Mngulu Nchimbe
10. Katelephone
Hii List imetuliaaa. Mkuu Ongezea mengine 10 kwa style hiyo hiyo 😂
 
Hi great Thinkers.

Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare..

Tuna Wabunge wengi zaidi ya 300 ila mimi naanza na hawa.

1. Job Ndugai.
2. Kassim Majaliwa.
3. Bashiru Ally
4. Paramagamba Kabudi.
5. Lukuvi
6. Patrobasi katambi
7. Mrisho Gambo
8. Mbunge wa Misungwi.(Mnyeti)
9. Mbunge wa Ngorongoro
10. Jerry Slaa
11.Mbunge wa segerea (Bonah).
12.Taletale

List ni kubwa sana nawaachia wanajukwaaa wengine waendelee kuleta hayo majina.

Tahadhari.
Vua gamba vaa gwanda inakuja 2025 itakuwa ni kivumbi na jasho
Asanteni.

Uzi huu Siyo Masihara uendelee kuwepo.
Bonnah anarudi, Slaa anategemea huruma za CCM ndio maana ameanza kujikomba kwenye issue bandari akumbukwe
 
1. Ndugai alishasema hagombei tena, kumweka kwenye hii list sidhani kama ni sahihi, hao wengine ni vyawa tu kung'oka ni ngumu hivyo wengi watabaki, yote ya yote, vingi sina hakika ila la Majaliwa kutorudi kwenye U-PM hili nina hakika 100%
 
Ngoja na mimi niweke utabiri wangu:
1. Tulieni
2. Nduguzanguni
3. sukumawiki
4. Taletale
5. Mbunge wa Uk
6. Gamba la nyoka
7. Nepi
9. February Marope
9. Mngulu Nchimbe
10. Katelephone
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
MwanaFA - wananchi watafanya yao
Mpina '- Atakatwa na Wahuni.
Maboto - atakatwa na wahuni
mpina hata asipokatwa hawezi kumshinda mgombea wa chadema Nicholous Kishabi hata yeye analijua hilo maana hata 2020 alipigwa kama mbwa mkomba mboga jikoni ila akatangazwa kwa nguvu.
 
Huyo namba moja sasa hivi ndio ninamuelewa alivyosema hii nchi kuna siku itapigwa mnada alimaanisha hiki kinachoendelea sasa hivi kwenye hii mikataba.

Bunge likipitisha sheria ya kila mgeni kumiliki ardhi Tanganyika tumekwisha [emoji2296][emoji2297]

Kumbukeni ni tarehe 29,August siyo mbali na hakuna mwenye kupinga maana ni Bunge la chama kimoja, labda utokee muujiza tu.

TUMAINI LETU LITATOKA WAPI?

2025 watarudi kwa uongo gani, upi, maana huu utakuwa ni usaliti mkuu kuwahi kutokea kwa Wananchi katika nchi ya Tanzania.

Mungu na aseme nao wote walio na nia ovu juu ya rasilimali zetu akianza na Wabunge watakaokuwa makuwadi wa kuuza nchi yetu. Laana iwapate wao na vizazi vyao vyote, watangetange kuokota makopo mtaani wakidhani wanaomba kura kwa wanachi.

Wakawahutubie na kuwaomba kura nyumbu wa Serengeti na Ngorongoro national parks wakidhani ni wananchi wao.

Tanzania iwe huru sasa. Amen.
 
mambo yatakua kama uchaguzi ulio pita, upinzani labda ACT tu ndio wataambulia vijimbo vichache huko pemba, zaidi ya hapo CCM itaendelea kutamba. Hivi nyie mnategemea mtu kama Sugu an Lema watarudi bungeni? Baada ya wanachi wa Mbeya na Arusha kupata amani miaka yote hii unafikiri watarudi kuchagua pumbavu hawa?
 
Back
Top Bottom