yvegenc prymacov
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,530
- 1,961
Kwa nn unafikiri kumchagua kabudi ni ujinga?Paramagamba anarudi maana jimbo la kilosa linagawanywa, kutakuwa na jimbo la kilosa na jimbo la Dumila. Yeye anagombea Dumila, which is obviously atapita, watu wa huko wengi ni wajinga.
Ambaye harudi ni yule wa Mwanga, someone Tadayo sjui, mtoto wa Msuya yule. Hakuna kitu anafanya kule.
Je ni vipi yakitokea tena "Maajabu ya karne ya 21" kwa wao kupita bila "kupingwa" kama ilivyjitokeza 2020?Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare..
Mbona umetaja Viceversa! Mkuu.Hi great Thinkers.
Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare..
Tuna Wabunge wengi zaidi ya 300 ila mimi naanza na hawa.
1. Job Ndugai.
2. Kassim Majaliwa.
3. Bashiru Ally
4. Paramagamba Kabudi.
5. Lukuvi
6. Patrobasi katambi
7. Mrisho Gambo
8. Mbunge wa Misungwi.(Mnyeti)
9. Mbunge wa Ngorongoro
10. Jerry Slaa
11.Mbunge wa segerea (Bonah).
12.Taletale
List ni kubwa sana nawaachia wanajukwaaa wengine waendelee kuleta hayo majina.
Tahadhari.
Vua gamba vaa gwanda inakuja 2025 itakuwa ni kivumbi na jasho
Asanteni.
Uzi huu Siyo Masihara uendelee kuwepo.
Una uhakika gani hiyo 2025 utafika?The burning spear
Huyu atarudi kwenye kazi yake ya ulinzi kule ihumilo luchelele13. Mbunge wa nyamagana bwana Stanslaus mabula akipenda kujiita mtoto wa mjini aandae kabsa mashamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kagera Bukoba Vijijini kazi ipo, sema Madiwani wa eneo la Ikimba ni waoga na wanamuabudu na kumuogopa sana Rweikiza na huko ndipo walipo wapiga kura wengi lasivyo angepigwa vibaya mno hata kama wakisema waibe kura zisingemtosha.Kanda ya ziwa, Mwanza,Kagera, Shinyanga,Mara na Simiyu na Geita kazi ipo this time.
Obviously hamna kitu anachokifanya jimboni ndo maana nasema hivyo. Mimi nazunguka sana Tanzania hii, jimboni kwake naenda sana, kiukweli kabisa hamna kitu anafanya huko.Kwa nn unafikiri kumchagua kabudi ni ujinga?
Kwanini majaliwa asirudi?1. Ndugai alishasema hagombei tena, kumweka kwenye hii list sidhani kama ni sahihi, hao wengine ni vyawa tu kung'oka ni ngumu hivyo wengi watabaki, yote ya yote, vingi sina hakika ila la Majaliwa kutorudi kwenye U-PM hili nina hakika 100%
Mungu Bila Abas,Hamna kituWatu wa Rufiji watamrudisha huyu maana kwao ni Mungu wao.
Ukiangalia huu mfumo ulivyo utagundua aliachwa kwa sababu kipindi kile angetolewa baraza lingevunjika na nchi ilikuwa katika kipindi cha mpito na majonzi,Kwanini majaliwa asirudi?