EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
kwani Messi maskin toa ufalaSiku zote maskin anamchukia tajiri, kipato chake cha lisaa limoja tu ni kipato chako cha miezi sita kama sio mwaka...
No wonder unamchukia... View attachment 964352
Ni wapi nimesema Messi ni maskini?kwani Messi maskin toa ufala
kila mtu ana maoni yake
haya tajiri wa fedha na akili.Ni wapi nimesema Messi ni maskini?
Nilijua wewe ni maskini wa pesa kumbe pia ni maskini wa akili, kazi kweli kweli.
Na ww Fanya mazoezi tuoneRonaldo wa mtumba yule mreno mpaka shedo.. Anajinadi utafikiri ana talent kumbe mazoezi.
Wanaojivuna zaidi ni hawa
1 Neema mtoto wa mama
2 Cr7
3 robinho,huyu dogo bahati nzuri hakufika mbali akapotea, kalikuwa kanajiona sana kama demu.
4 Diego costa, japo huwa ananifurahisha sana na fujo zake [emoji3][emoji3]
5 Luis Nani, mwethiopia huyu, jamaa anawivu sana kwa wenzie
6 Asamoa Gyan ni mwafrika ambae sikutokea kumpenda, ana majivuno sana.
Humjui vizuri Cadabra
Unatakiwa kuandika "ZLATAN" kwaheruf kubwa bosszlatan
sawaaa bossUnatakiwa kuandika "ZLATAN" kwaheruf kubwa boss
Athumani Idd ChujiAlisema nani hiyo kauli?
Athumani Idd Chuji
5 Luis Nani asili yake ni Cape Verde mkuu,Wanaojivuna zaidi ni hawa
1 Neema mtoto wa mama
2 Cr7
3 robinho,huyu dogo bahati nzuri hakufika mbali akapotea, kalikuwa kanajiona sana kama demu.
4 Diego costa, japo huwa ananifurahisha sana na fujo zake [emoji3][emoji3]
5 Luis Nani, mwethiopia huyu, jamaa anawivu sana kwa wenzie
6 Asamoa Gyan ni mwafrika ambae sikutokea kumpenda, ana majivuno sana.
????????Sergio Busqet
Fanya na wewe mkuu mazoeziRonaldo wa mtumba yule mreno mpaka shedo.. Anajinadi utafikiri ana talent kumbe mazoezi.
Ngoja apite hapa uone povu lake hiloHaji manara