List ya Wachezaji wenye Majivuno na Dharau

Luis Nani sio mwethiopia ni mtu mwenye asili ya Cape Verde mkuu
Wanaojivuna zaidi ni hawa

1 Neema mtoto wa mama
2 Cr7
3 robinho,huyu dogo bahati nzuri hakufika mbali akapotea, kalikuwa kanajiona sana kama demu.
4 Diego costa, japo huwa ananifurahisha sana na fujo zake [emoji3][emoji3]
5 Luis Nani, mwethiopia huyu, jamaa anawivu sana kwa wenzie
6 Asamoa Gyan ni mwafrika ambae sikutokea kumpenda, ana majivuno sana.
 
5 Luis Nani asili yake ni Cape Verde mkuu,
Nakujenga, Nufaika na Alvajumaa
 
Back
Top Bottom