List ya Wachezaji wenye Majivuno na Dharau

List ya Wachezaji wenye Majivuno na Dharau

Umemsahau mnyama messi, hazard, m.salah na aguero
 
Huyo namba 4 analingia nn?
Hela hana
Kipaji cha kawaida sa analingia nini.
Mi naona hajielewi tu.

Yupo slow, hafungi magoli hakabi, hapigi chenga, anapoteza mipira, mzito.. huyo ndio humoud..
Yupo.bize kusuka nywele.. kila mechi anaingia na msuko mpya.. n
 
Back
Top Bottom