List ya wana jf wanaojitupia na mitindo wanayoipenda(mikato)..

Hahahahaha

Mkuu ukiachana na suti ambayo huwa navaa occasionally,suruali ya kitambaa nina muda mrefu sana sijavaa,huwa kwa ofisini navaa cadet sana!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkubwa upo?
 
Hahaha wew huna utabiri huo naamini huwa unafatilia comment zangu niliwahi Kukoment sisukagi ni mwendo wa nywele fupifupi.
aaargh jana nimeoteshwa ndotoni ujue πŸ˜‚
Nipe heshima yangu mtabiri..
Ila sikwambii kama nilipitia hiyo comment πŸƒ πŸƒ πŸƒ
 
aaargh jana nimeoteshwa ndotoni ujue πŸ˜‚
Nipe heshima yangu mtabiri..
Ila sikwambii kama nilipitia hiyo comment πŸƒπŸƒπŸƒ
Unakwenda wapi kuja hapa, Asante pancho boy kwa utabiri wako ulio tukuka.
 
Mkuu sijajiona hapo

13SEPTEMBER
 
Unakwenda wapi kuja hapa, Asante pancho boy kwa utabiri wako ulio tukuka.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbona wanivunja mbavu aisee!,Leo nimekamatwa hapa, yaani nataka kukimbia tuu ushanikamata?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pamoja sana mkuu
 
Nimesoma ulivyoandika navyovaa uzi wako wote umekuwa batili πŸ˜‚πŸ˜‚
Vitenge??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Short dress??
Mi mtu wa jeans/suruali sanaaa
Sipendi sketi wala gauni
Anajikuta Marehemu Ibilisi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe sheikh yahya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…