List ya wana jf wanaojitupia na mitindo wanayoipenda(mikato)..

List ya wana jf wanaojitupia na mitindo wanayoipenda(mikato)..

Hahahahaha

Mkuu ukiachana na suti ambayo huwa navaa occasionally,suruali ya kitambaa nina muda mrefu sana sijavaa,huwa kwa ofisini navaa cadet sana!
😂😂😂😂 Mkubwa upo?
 
Hahaha wew huna utabiri huo naamini huwa unafatilia comment zangu niliwahi Kukoment sisukagi ni mwendo wa nywele fupifupi.
aaargh jana nimeoteshwa ndotoni ujue 😂
Nipe heshima yangu mtabiri..
Ila sikwambii kama nilipitia hiyo comment 🏃 🏃 🏃
 
Baada ya kuja na ile list ya watu peace humu ndani japo walikuwa wachache.
Sasa hii ni list ya wana jf namna wanavyovaa na mitindo wanayoipenda..

Magonjwa mtambuka -huyu ni mtu wa age kama 40 hivii..
Yeye anapenda kuvaa suruali za kitambaa na mashati mara nyingi huwa ya mikono mirefu japo mara chache huvaa ya mikono mifupi,
Ana jeans chache, anavaaga akiwa anaenda baa. ana Viatu vingi aina ya choma kumoyo!

Asprin -huyu mzee yeye ni suruali za vitambaa naye,
Pia anavaaga suruali za kadeti akiwa anaenda misele ya huko baa..
Choma kumoyo anazo za kutosha!

Kawoli -huyu yeye ni mtu wa kupendelea suti ila suruali zake zinakuwaga chukuchuku (modo).

Mshana Jr -huyu anavaaga siku nyingine kadeti suruali ila pia anapenda kuvaa mashati ya kitenge..

Beira Boy -huyu ni mchizi kichizi, yeye mara nyingi ni t shirt na jeans, pia anavaaga truck anapenda sneakers, air max, pia na mikato mingine ya kibishoo.

Mwanyasi -huyu ni mtu mzima naye, yeye huvaa suruali za kitambaa Kama mzee mwenzie asprin tena mabwanga kidogo. hapendelei jeans..

Hazard cfc-huyu ni ana age kama bro wa kati kati hivi, sio mkubwa sana,
Yeye hupendelea kuvaa vyote yaani jeans, suruali za kitambaa, na hata mashati na t shirt pia, ana jezi ya yanga..

Sanchez magoli -huyu ni brazameni tuu, anavaaga mikato yote mpaka midosho, ila mara nyingi akiwa hana misele hupendelea kuvaa truck suit,

Khantwe -mdada flani tuu, yeye anavaaga sana sana jeans akiwa na mtoko usiku, mchana anapenda kuvaa short dress,yeye anavaa mikato yoyote.

Sabosabo -huyu ni mature, yeye hupendelea kuvaa t shirt na kadeti kwa mitoko ya usiku. akiwa job huvaa suruali za kitambaa au kadeti mara moja moja.

Hawachi -huyu anapenda kuvaa short dress na pia huyu hasukagi..

Ushimen -yeye huvaa suruali za kitambaa sana sana pia anapenda suti.

Sky eclat -huyu anapenda kuvaa Nguo ndefu pia anavaaga suruali ila sio zile modo..

Faiza foxy -huyu anavaaga hijabu ndefu yaani anaonekana viganja na sura tuu 24 hours..

Ihera -huyu anavaa mikato yoyote yaani Leo atavaa dera, kesho kinyandu, baadaye jeans..

Lucas Mobutu -huyu anavaaga mikato ya kiutu uzima tuu yaani suruali tumboni na mashati ya vitambaa pia..

Zeechriss -huyu anavaaga mikato ya kijanja tuu. Ana jeans kibao pia madera na madude yake mengine..

Ndege John -huyu hajali sana mavazi yeye hata akivaa shuka la kimasai sawa tuu..

Warumi -huyu Nguo zake tupu ni madera tuu..

Extrovert -huyu huvaa jeans ila sio modo na ma t shirt mara chache pia huvaa mashati ya mikono mifupi..

Jinga lao -huyu yeye anapendga kuvaa mashati ya kijani na njano pia yeye yupo kiofisi zaidi.

Joanah-huyu hapendi kuvaa jeans yeye huvaa short dress na Nguo za Vitenge...

Zero IQ -huyu hana suruali ya kitambaa hata moja! Yeye huvaa singlendi tuu.. Na jeans..

Hearly -huyu anavaaga mikato yoyote kutokana na sehem alipo akiwa misele ni t shirt na jeans tuu bila kusahau Cape..

Financial services -huyu yeye huvaa sketi sana sana. Na jeans.

Beberu mwitu -huyu ni suruali za vitambaa tuu..

Finding bishoo -kama jina lake ilivyo nae ndo yupo hivyo.. Hapendagi kuvaa Viatu..

Castr -huyu anapenda kuvaa mashati yaliyokatwa mikono ila chini ni jeans tuu.. Na sneakers.

MO 11- yeye hajaligi sana mavazi huvaa vyovyote hajali mtu.

Snow White-huyu ni kama sky eclat, mavazi yake ni Nguo ndefu pia anavaa suruali ila sio modo.

Madame s -huyu anapendelea kuvaa dera akiwa home ila usiku anapenda kuvaa jeans akiwa misele..

Rikiboy -mtaalamu wa mitupio yeye anaenda na wakati kilichotoka anacho!..

Papaa mobimba -yeye anatupiaga mikato ya wakongo maana anaipenda sana pia ana.

Wengine mtauliza nami natabashiri maana maana mambo ni mengi muda ni mchache

"Pancho boy "
Mkuu sijajiona hapo

13SEPTEMBER
 
Unakwenda wapi kuja hapa, Asante pancho boy kwa utabiri wako ulio tukuka.
😂😂😂
Mbona wanivunja mbavu aisee!,Leo nimekamatwa hapa, yaani nataka kukimbia tuu ushanikamata?? 😂😂😂
Pamoja sana mkuu
 
Tango pori/chai eti sijali ninavyovaa umenikosea Sana kqa taarifa yako natupia sana
IMG_20190409_074527.jpeg
IMG_20190409_074524.jpeg
 
Nimesoma ulivyoandika navyovaa uzi wako wote umekuwa batili 😂😂
Vitenge??😂😂😂
Short dress??
Mi mtu wa jeans/suruali sanaaa
Sipendi sketi wala gauni
Anajikuta Marehemu Ibilisi 😂😂😂 kumbe sheikh yahya
 
Back
Top Bottom