List ya wanawake hatari hapa mjini. Ukimuona mke wako yupo nao toa talaka

List ya wanawake hatari hapa mjini. Ukimuona mke wako yupo nao toa talaka

#2 inabidi aingizwe kwenye Guiness book of records
 
Hao wanawake wote umewasingizia kuna mwanamke mmoja ndiyo mwalimu wao huyo ndiyo funga kazi anaitwa SISIEMU !!! huyu bwana ni shida hao wote wakasome namba ukimuona mkeo au mumeo anauswahiba na sisiemu jua una Mume wala Mke bora awena uswahiba na hao ulio wataja wote kuliko huyu
 
Baada ya msiba wa mtoto Paty, na sinema zinazoendelea nimejifunza mengi haswa baada ya kuona kumbe yaliyokuwa yanasemwa na watu kuwa huu mji wa Dsm kuna wanawake ambao ni Waalimu wa wanawake. Hawa wanapenda maisha ya hadhi, maisha ya instagram, maisha ya kuwapelekesha walio waoa na si wote ila wengi wanapenda mambo ya kwenda kwa waganga. Na kila mwanamke hapa unaweza kusema wana pepo kwa sababu ndani ya maisha yao wamebeba mazito kabisa hadi hawaogopi.


  1. Mange Kimambi (ukiona mke wako anachat, au yupo karibu na huyu dada basi kuna siku utalia)
  2. MunaLuv ( Huyu alikuwa wa hatar sana zaman, amewabadili wanawake wengi inawezekana kabadilika ila bado nakushauri asikae karibu na mke wako)
  3. Shamsa Ford (Huyu atamzururisha mke wake wako mpk atapata bwana mwingine anaeenda china/hongkong)
  4. Faiza Ally (huyu atamshauri mke wako akumwagie hata maji ya moto au akuchome kisu)
  5. Joyce kiria ( ukiona yupo karibu na mke wako, walah utakuja kulia, hata kituo cha police utalala au kw makonda)
  6. Zamaradi Mtetema ( ukishaona girlfriend wako ana ukaribu na huyu, jiandae, atakuacha madhabahuni, kama umemuoa jua atakukimbia, siku zaja)
  7. Wema Sepetu ( Ukishaona mke wako au mpenz wako yupo karibu na Sepetu baasi ashakuwa mwanamke wa mjini, jiandae kuwa ATM, kuwa na hela tu. Japo hatakuacha wala kukuaibisha, na atakupenda ila lazm ufilisike)
  8. Lulu Michael (Ukishaona mke wako au mpenz wako yupo karibu na huyu dada. Anza kulia, atakuwa ana siri nzito sana hata mimi nimeshindwa kujua ni ipi)
  9. Bi Sandra (ukishaona mke wako ana ukaribu na huyu mama basi umeoa mjinga wee jua tu hivyo)
  10. Hamisa Mobetto ( ukishamuona girlfriend hata anamfuatilia hamisa insta baasi, lazm atakuacha aende kwa watu maarufu)
Ninamaanisha ninachokisema. Hawa ndiyo wanawake wa mjini hakuna anaegopa mtu wala chochote, wamezindikwa isipokuwa Mange Kimambi japo Mange ndiyo kiranja wao.
11.Dida Shaibu
12.Junaithar
13.Director Joan
14.Skyner Huniz
15.Wolper
16.Jike Shupa
17.Ladynaa
18.Shamim Mwasha
19.Gigymoney
20.Amberlulu
21.Maimathawajesse

...................nk
 
Kwenye hii list bora hata Wema.
Wote hao na wengine wengi kwa kifupi ni machangudoa wanaoishi kwa kutegemea miili yao. Wanatofautiana na machangu wengine kwa sababu tu biashara yao huiendesha kwa level ya juu na wanaume wanaochagua kulala nao wana fedha nyingi.
 
11.Dida Shaibu
12.Junaithar
13.Director Joan
14.Skyner Huniz
15.Wolper
16.Jike Shupa
17.Ladynaa
18.Shamim Mwasha
19.Gigymoney
20.Amberlulu
21.Maimathawajesse

...................nk
Shamim ana ubaya gani?
 
Back
Top Bottom