lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
km hao wengine tofaut kuzidiana.Shamim ana ubaya gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
km hao wengine tofaut kuzidiana.Shamim ana ubaya gani?
Shamim ntamtetea japo simpendagi ila ana maisha yake yanayoeleweka, ana ndoa japo mume anasumbua sometimes ila wako wote na anaipenda ndoa yake, ana biashara yake na hanaga mambo ya kipuuzi puuzi wanayofanya wanawake wengine maarufukm hao wengine tofaut kuzidiana.
Hiyo kuliko vipi kaka??Kwa kuongea ukweli umebarikiwa kuliko.....
Sasa mimi Mwajuma Ndala Ndefu nitaanzaje kumzoea Mumaluv, Wema, Lulu au Hamisa?
Kabisa hata kama ana mganga wake huku kwetu Kwamtogole atakuja akiwa amevaa dera na miwaniPata picha..., huku uswazi kwetu unakutana wapi na Lulu kwa mfano?!
Nawe unaingia darasani.Vipi ikiwa mamsap ndio kawafundisha hao huo ungungwangungwa ?
hahahhaahNimegundua jf wambea ni wanaume kuliko wanawake
Mke wa dogo janja..hatari sana!Baada ya msiba wa mtoto Paty, na sinema zinazoendelea nimejifunza mengi haswa baada ya kuona kumbe yaliyokuwa yanasemwa na watu kuwa huu mji wa Dsm kuna wanawake ambao ni Waalimu wa wanawake. Hawa wanapenda maisha ya hadhi, maisha ya instagram, maisha ya kuwapelekesha walio waoa na si wote ila wengi wanapenda mambo ya kwenda kwa waganga. Na kila mwanamke hapa unaweza kusema wana pepo kwa sababu ndani ya maisha yao wamebeba mazito kabisa hadi hawaogopi.
Ninamaanisha ninachokisema. Hawa ndiyo wanawake wa mjini hakuna anaegopa mtu wala chochote, wamezindikwa isipokuwa Mange Kimambi japo Mange ndiyo kiranja wao.
- Mange Kimambi (ukiona mke wako anachat, au yupo karibu na huyu dada basi kuna siku utalia)
- MunaLuv ( Huyu alikuwa wa hatar sana zaman, amewabadili wanawake wengi inawezekana kabadilika ila bado nakushauri asikae karibu na mke wako)
- Shamsa Ford (Huyu atamzururisha mke wake wako mpk atapata bwana mwingine anaeenda china/hongkong)
- Faiza Ally (huyu atamshauri mke wako akumwagie hata maji ya moto au akuchome kisu)
- Joyce kiria ( ukiona yupo karibu na mke wako, walah utakuja kulia, hata kituo cha police utalala au kw makonda)
- Zamaradi Mtetema ( ukishaona girlfriend wako ana ukaribu na huyu, jiandae, atakuacha madhabahuni, kama umemuoa jua atakukimbia, siku zaja)
- Wema Sepetu ( Ukishaona mke wako au mpenz wako yupo karibu na Sepetu baasi ashakuwa mwanamke wa mjini, jiandae kuwa ATM, kuwa na hela tu. Japo hatakuacha wala kukuaibisha, na atakupenda ila lazm ufilisike)
- Lulu Michael (Ukishaona mke wako au mpenz wako yupo karibu na huyu dada. Anza kulia, atakuwa ana siri nzito sana hata mimi nimeshindwa kujua ni ipi)
- Bi Sandra (ukishaona mke wako ana ukaribu na huyu mama basi umeoa mjinga wee jua tu hivyo)
- Hamisa Mobetto ( ukishamuona girlfriend hata anamfuatilia hamisa insta baasi, lazm atakuacha aende kwa watu maarufu)
Teh teh teh ..nimecheka sana, umesemaje? Eti harakati. Hawa ndo wanawake role models?Bila shaka unakinyongo nao
Mbona wote hao ni wanawake wachacharikaji wanapambana na maisha
Kama Joyce huyo si mwanaharakati wa kutetea haki za wanawake
Alivyoanza kumsema mme wake hadharani ndio uanaharakati etiBila shaka unakinyongo nao
Mbona wote hao ni wanawake wachacharikaji wanapambana na maisha
Kama Joyce huyo si mwanaharakati wa kutetea haki za wanawake
Papuchi utaisika tu kwa jiraniMkeo akiwa na Ushoga na Salama Jabir ............
Hata mimi nimeshangaa sana! Pengine tusio yajua ni usiku wa kiza! Ila kwa mtazamo wangu watakuwa wamemuonea sana...Shamim ana ubaya gani?
Wanataja taja tuuHadi Zamaradi?