List ya wanawake hatari hapa mjini. Ukimuona mke wako yupo nao toa talaka

Bila shaka unakinyongo nao
Mbona wote hao ni wanawake wachacharikaji wanapambana na maisha
Kama Joyce huyo si mwanaharakati wa kutetea haki za wanawake
 
Mke wa dogo janja..hatari sana!
 
Bila shaka unakinyongo nao
Mbona wote hao ni wanawake wachacharikaji wanapambana na maisha
Kama Joyce huyo si mwanaharakati wa kutetea haki za wanawake
Teh teh teh ..nimecheka sana, umesemaje? Eti harakati. Hawa ndo wanawake role models?
 
Bila shaka unakinyongo nao
Mbona wote hao ni wanawake wachacharikaji wanapambana na maisha
Kama Joyce huyo si mwanaharakati wa kutetea haki za wanawake
Alivyoanza kumsema mme wake hadharani ndio uanaharakati eti
 
Sio rahisi kuwazoea watu hawa labda uwe type yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…