List ya wanawake hatari hapa mjini. Ukimuona mke wako yupo nao toa talaka

Namba moja hapana kabisa......... mtoe dada wa taifa...
Hiyo namba 4
9 kweli kabisa
5 mambo yao ni fire fire kabisa
 
Sasa mimi Mwajuma Ndala Ndefu nitaanzaje kumzoea Mumaluv, Wema, Lulu au Hamisa?
utamzoea kupitia insta kusoma kile wanachopost...mleta mada ndio alikua anamaanisha ivyo
 
Kufollow hiyo list ndio kutafanya huyo mke afuate na tabia zao!!! Basi hyo mke atakua kili nna(ganuki haswa)
 
Real celebrity wa bongo ni:

1. Nancy Sumari
2. Jaqline Ntub... (Mrs Mengi)
3. Faraja Kotta (Nyalandu)
4. Hoyce Temu
5. Irene Kiwia
6.Millen Magesse
7. Miriam Odemba
Kwani celebrity maana yake nini!?
 

Mmmmh [emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…