List ya Wasanii 10 bora kwa sasa Tanzania

List ya Wasanii 10 bora kwa sasa Tanzania

MFALME WETU

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
4,071
Reaction score
10,028
1. Marioo
2. Harmonize
3. Jay Melody
4. Mbosso
5. Jux
6. Chino
7. D. Platnumz
8. Zuchu
9. Alikiba
10. Nandy

Hizo takwimu ni kutokana na performance zao huku mtaani ndani ya miaka mitano ya hivi karibuni kulingana na mtazamo wangu.

Nipe List yako
 
Baada ya kutosikiliza muziki muda mrefuuu, usiku wa leo(kiswahili usiku wa jana) nilipata mizuka, nikaona kila siku kina tupac na bob, ngoja nile za kizazi hiki, nikanogewa na mmakonde harmonize, ngoma kama
Nitaubeba.
Wote
Tena
Kuna moja jina sikumbuki anasema hana ushamba wa hela ndio maana hagombani na masela
ZANZIBAR, bonge la ngoma, hii zanziba watumie kama goma lao la taifa kiutalii.
Inanimaliza
Falling in love
Kuna moja anasema hata simu nikikupigia utaikata,

Nyingine sikumbuki kwa majina, kwemye uandishi na melody mmakonde hatari saana kale kajamaa.

Mario nilimsikiliza ila naona melody zinaingiliana kwa mbaaali, pia kwenye uandishi hana mistari mikali kama ya MJOMBA NCHUMALI.

Jana nimekuta youtube albamu kama 4 hivi za mjomba nchumali, nimezisikiliza karibia mgoma zote ni chache sana nimeruka.

Nyongeza nimesikiliza ngoma za ali kiba, ngoma pekee ilinivutia na nikairudia rudia ni UTU aisee bonge moja la ngoma plus mistari imenyooka, sitaki kuamini hii ngoma ali KAANDIKA mwenyewe, ali si muandishi mzuri wa mistari, yaani sitaki kuamini zile lyrics kaandika yeye, wajuzi mtaniambia nijiprove mwemyewe ile ngoma ali kaandika ama kaandikiwa. Ile ngoma itakuwepo kwenye kusherehekea miaka kadhaa ya ndoa yangu, siku hiyo kama nitakuwa mzima wa afya nitamfanyia mama watoto suprise, kwanza nitamsikilizisha ngoma ya TENA, NITAUBEBA na WOTE kisha atamalizia na UTU na kijizawadi kitakuwepo, hili wazo limekuja baada ya kusikiliza ngoma za MJOMBA NCHUMALI.
 
Baada ya kutosikiliza muziki muda mrefuuu, usiku wa leo(kiswahili usiku wa jana) nilipata mizuka, nikaona kila siku kina tupac na bob, ngoja nile za kizazi hiki, nikanogewa na mmakonde harmonize, ngoma kama
Nitaubeba.
Wote
Tena
Kuna moja jina sikumbuki anasema hana ushamba wa hela ndio maana hagombani na masela
ZANZIBAR, bonge la ngoma, hii zanziba watumie kama goma lao la taifa kiutalii.
Inanimaliza
Falling in love
Kuna moja anasema hata simu nikikupigia utaikata,

Nyingine sikumbuki kwa majina, kwemye uandishi na melody mmakonde hatari saana kale kajamaa.

Mario nilimsikiliza ila naona melody zinaingiliana kwa mbaaali, pia kwenye uandishi hana mistari mikali kama ya MJOMBA NCHUMALI.

Jana nimekuta youtube albamu kama 4 hivi za mjomba nchumali, nimezisikiliza karibia mgoma zote ni chache sana nimeruka.
Harmonize alistaili kukaa Top ila Omary ni habari nyingine
 
Harmonize alistaili kukaa Top ila Omary ni habari nyingine
Omary ndio nani!? Marioo!?
Kama ni yeye, simkatai Mario ila harmonize kwangu nimeona ni bora zaidi, marioo amekuwa mtamu kwenye amapiano ngoma za kuchezeka zaidi na melody zake kiukweli hazitofautiani saaana.
Nikasiliza pia ngoma moja walifanya wote bado verse ya mjomba NCHUMALI ilikuwa moto zaidi, mjomba nchumali ana ujinga ujinga mwingi maishani mwake ila kiuandishi na melody ni balaa jingine.
 
Mimi ni shabiki mkubwa sana wa mjomba nchumali ila kwa Omari anakaa bila wasiwasi.
leo jipe muda kumsikiliza kisha leta mrejesho
 
Mimi ni shabiki mkubwa sana wa mjomba nchumali ila kwa Omari anakaa bila wasiwasi.
leo jipe muda kumsikiliza kisha leta mrejesho
Nikipata mzuka wa kusikiliza tena, nitamsikiliza.

Kwako wewe ile ngoma yao naogopa, nani alimfunika mwenzie.
Pili unitajie ngoma zipi na zipi nisikilize, zisiwe za amapiano tu, nimesikiliza hizi ngoma zake, zinajirudia na msaada mkubwa ni BITI, Kifupi amapiano nimeona biti ndio linabeba haswa ngoma yenyewe.
 
Lunya na Toxic Fuvu nani mkali?
Toxic ni underground bado...
Watu ambao hamfatilii hiphop baada ya kuona ile diss track ya toxic mnaona jamaa anajua...

Ila jamaa hamna kitu pale yeye bado yupo level za chini huku kushindana freestyle na kina kitengo.

Ila game ya biashara bado ndo mana anafosi kiki kinoma noma ili impaishe...

So hapo ushajua lunya ni bora kuliko toxic
 
Back
Top Bottom