AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
Kuna mpumbavu mwenzie anaitwa Kusah, siku hiz Mbosso kawa mnenguaji🤣 Bongo fleva ina vituko sana....Anaboa mno...
Mtoto wa kiume haieleweki unaimba au unalia fàçkêñ kabisa 😁😁😁🚬
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mpumbavu mwenzie anaitwa Kusah, siku hiz Mbosso kawa mnenguaji🤣 Bongo fleva ina vituko sana....Anaboa mno...
Mtoto wa kiume haieleweki unaimba au unalia fàçkêñ kabisa 😁😁😁🚬
Hivi mboso anaimba nini...Kuna mpumbavu mwenzie anaitwa Kusah, siku hiz Mbosso kawa mnenguaji🤣 Bongo fleva ina vituko sana....
mkuu wewe mziki unaujua sio mshabiki tu saludosBaada ya kutosikiliza muziki muda mrefuuu, usiku wa leo(kiswahili usiku wa jana) nilipata mizuka, nikaona kila siku kina tupac na bob, ngoja nile za kizazi hiki, nikanogewa na mmakonde harmonize, ngoma kama
Nitaubeba.
Wote
Tena
Kuna moja jina sikumbuki anasema hana ushamba wa hela ndio maana hagombani na masela
ZANZIBAR, bonge la ngoma, hii zanziba watumie kama goma lao la taifa kiutalii.
Inanimaliza
Falling in love
Kuna moja anasema hata simu nikikupigia utaikata,
Nyingine sikumbuki kwa majina, kwemye uandishi na melody mmakonde hatari saana kale kajamaa.
Mario nilimsikiliza ila naona melody zinaingiliana kwa mbaaali, pia kwenye uandishi hana mistari mikali kama ya MJOMBA NCHUMALI.
Jana nimekuta youtube albamu kama 4 hivi za mjomba nchumali, nimezisikiliza karibia mgoma zote ni chache sana nimeruka.
Nyongeza nimesikiliza ngoma za ali kiba, ngoma pekee ilinivutia na nikairudia rudia ni UTU aisee bonge moja la ngoma plus mistari imenyooka, sitaki kuamini hii ngoma ali KAANDIKA mwenyewe, ali si muandishi mzuri wa mistari, yaani sitaki kuamini zile lyrics kaandika yeye, wajuzi mtaniambia nijiprove mwemyewe ile ngoma ali kaandika ama kaandikiwa. Ile ngoma itakuwepo kwenye kusherehekea miaka kadhaa ya ndoa yangu, siku hiyo kama nitakuwa mzima wa afya nitamfanyia mama watoto suprise, kwanza nitamsikilizisha ngoma ya TENA, NITAUBEBA na WOTE kisha atamalizia na UTU na kijizawadi kitakuwepo, hili wazo limekuja baada ya kusikiliza ngoma za MJOMBA NCHUMALI.
Mkuu mimi na wewe kwenye mziki damudamu, sisikiliz mziki wa kishoga na msanii mse*mse* nampiga pini kabisa labda abadirike.Hivi mboso anaimba nini...
Jamaa nilikua namkubli zamani ila alivoanza kujiita mboso khan nikaona jamaa sasa kafika sipo...😁😁😁
Sasa ukija kwa kusah 😁😁😁 mtoto wa kiume kweli una lipsi nzuri vile màñïñæ zake 😁😁😁
Baada ya kutosikiliza muziki muda mrefuuu, usiku wa leo(kiswahili usiku wa jana) nilipata mizuka, nikaona kila siku kina tupac na bob, ngoja nile za kizazi hiki, nikanogewa na mmakonde harmonize, ngoma kama
Nitaubeba.
Wote
Tena
Kuna moja jina sikumbuki anasema hana ushamba wa hela ndio maana hagombani na masela
ZANZIBAR, bonge la ngoma, hii zanziba watumie kama goma lao la taifa kiutalii.
Inanimaliza
Falling in love
Kuna moja anasema hata simu nikikupigia utaikata,
Nyingine sikumbuki kwa majina, kwemye uandishi na melody mmakonde hatari saana kale kajamaa.
Mario nilimsikiliza ila naona melody zinaingiliana kwa mbaaali, pia kwenye uandishi hana mistari mikali kama ya MJOMBA NCHUMALI.
Jana nimekuta youtube albamu kama 4 hivi za mjomba nchumali, nimezisikiliza karibia mgoma zote ni chache sana nimeruka.
Nyongeza nimesikiliza ngoma za ali kiba, ngoma pekee ilinivutia na nikairudia rudia ni UTU aisee bonge moja la ngoma plus mistari imenyooka, sitaki kuamini hii ngoma ali KAANDIKA mwenyewe, ali si muandishi mzuri wa mistari, yaani sitaki kuamini zile lyrics kaandika yeye, wajuzi mtaniambia nijiprove mwemyewe ile ngoma ali kaandika ama kaandikiwa. Ile ngoma itakuwepo kwenye kusherehekea miaka kadhaa ya ndoa yangu, siku hiyo kama nitakuwa mzima wa afya nitamfanyia mama watoto suprise, kwanza nitamsikilizisha ngoma ya TENA, NITAUBEBA na WOTE kisha atamalizia na UTU na kijizawadi kitakuwepo, hili wazo limekuja baada ya kusikiliza ngoma za MJOMBA NCHUMALI.
Wasanii wa bongo wanatembea na upepo, mcheki Juma kaamua kuchange kabisa.Mkuu mimi na wewe kwenye mziki damudamu, sisikiliz mziki wa kishoga na msanii mse*mse* nampiga pini kabisa labda abadirike.
Ngwea??Hao uliotaja kina nyandu na bando wote now hawafati nguzo wana hiphop flan hivi simple kama kina ngwea ...
Nchumali ndiye nani tena huyo, Watu mziki tunaujua ni vibur tu vya watoto wa 2005 kutuletea ushoga na ngono zembe kwenye mziki wao.mkuu wewe mziki unaujua sio mshabiki tu saludos
Huyo Jaivah ndo utumbo kabisa, katika rappers ambao hawana vipaji wala creativity yeyote huyo namueka namba mojaChino ni habari nyingine, we hujiulizi kwanini Jaivah hayupo kwenye List.
Twende mbele turud nyuma, kwenye list yako hapo juu Msanii Star anaetrend muda wote aliebaki salama naeza msikiliza bila kuona aibu ni ALIKIBA tu, Konde boy kuna muda ni mse*mse* nae.Wasanii wa bongo wanatembea na upepo, mcheki Juma kaamua kuchange kabisa.
Akina Gnako sikuizi ata hawaeleweki wanaimba nini tena.
Wasanii naowakubali hawayumbishwi na upepo ila kwenye list yangu hawajaingia ni kina Navy Kenzo.
Konde Boy kweli kuna muda anakuaga na ufalaufala mwingi ila linapokuja suala la muziki anajua mpaka anajua tena, ni kama maji.Twende mbele turud nyuma, kwenye list yako hapo juu Msanii Star anaetrend muda wote aliebaki salama naeza msikiliza bira kuona aibu ni ALIKIBA tu, Konde boy kuna muda ni mse*mse* nae.
Sahih kabisa, unajua kutenganisha muziki wa mtu na maisha yake binafs.Konde Boy kweli kuna muda anakuaga na ufalaufala mwingi ila linapokuja suala la muziki anajua mpaka anajua tena, ni kama maji.
😁😁😁😁😁Mkuu mimi na wewe kwenye mziki damudamu, sisikiliz mziki wa kishoga na msanii mse*mse* nampiga pini kabisa labda abadirike.
Joh makini tatizo kapoa sana...Ngwea??
Binafsi ukiachana na kashfa za madawa bado sijaona rapper mweny creativity kama Ngwea hapa Tz, hadi leo nina ngoma zake nyingi kweny simu na nina enjoy kusikiliza kuliko hata hizi trending za kina Lunya. Rapper mwingine ambaye naona ana creativity nzuri ni Joh Makini.
That's only my opinion.
Sijawahi isikiliza kabisa hiyo nakupenda, nimeisikia sikia nakuona clips wakati ikitrend,hivyo sijasikia mashairi yake, melody ni nzuri ila naamini UTU ni bora kote kote, kale ka biti, mistari na melody yake.Upo sahihi , "Utu" sikumbuki vizuri kaiandika nani ila ni kati ya tommy flavour au Vanillah ..
Isingekuwa Nakupenda ya Jay melody kuwa mega hit, bhasi utu ingechukua wimbo bora wa mwaka.. Japo ukienda kwenye mashairi, utu imeshiba kuliko nakupenda
Mkuu unajua kuchambua mziki vizuri af hauna ushabiki mandazi, kudos for that.!Sijawahi isikiliza kabisa hiyo nakupenda, nimeisikia sikia nakuona clips wakati ikitrend,hivyo sijasikia mashairi yake, melody ni nzuri ila naamini UTU ni bora kote kote, kale ka biti, mistari na melody yake.
Jana nimeisikiliza vizuri mnoo, akili ikaniambia kiba HAWEZI andika mistari kuntu kama hii, hizi ni level za kina harmonize, mondi hivi.
Kiba vimashairi vyake ni ujanja ujanja, kuna baadhi ya ngoma kuna mashairi mazuri na sina hakika na mwandishiwa hizo ngoma.. Mfano mwingine ni DUSHELELE, ukisikiliza yale mashairi unaona huyu aliandika akiwa katuliza kichwa... Na siku hizi kaacha zamani ngoma nyingi alikuwa anajitaja ALI, mfano ile aje bonge la ngoma, melody ni A+ mistari ni B ama C kabisa.
Pamoja mkuumkuu wewe mziki unaujua sio mshabiki tu saludos
Kweli kipenda roho. Mimi hapo kuna wasanii hata sijawahi kuwasikia, ndio nawaona hapa1. Marioo
2. Harmonize
3. Jay Melody
4. Mbosso
5. Jux
6. Chino
7. D. Platnumz
8. Zuchu
9. Alikiba
10. Nandy
Hizo takwimu ni kutokana na performance zao huku mtaani ndani ya miaka mitano ya hivi karibuni kulingana na mtazamo wangu.
Nipe List yako
Burna boy ndiye msanii namba 1 Africa kwa ndani ya hii miaka ya karibuni, ina maana ngoma zake zinapigwa sana Africa na viunga vyake??????? Umeweka List yako alaf unaziita "Hizo takwimu ni kutokana na performance" yaani list imegeuka kuwa takwimu 😂 😂 😂1. Marioo