Harmonize na marioo wamekimbiza ila boss chibu ana disntiction asiwekwe hapa.
Kila kitu kina peak yake, mondi aliifikiaga hiyo kitaambo, sasa anaishi kwa nguvu hiyo.
Marioo ndio kajipata yupo level hiyo,
Harmonize ana maintain bado yupo kwenye ubora wake
Tofauti yao ni namna walitumia akili zao wakiwa kwenye ubora wao, alichofanya mondi kinaonekana na ndio kinambeba hata sasa, mondi anaweza imba ukuti ukuti na bado akabamba.
Mario ni muda wake atumie vizuri.
Mmakonde yeye yupo yupo tu.
Kwenye uandishi na melodies namtoa mario hayupo daraja la kina mondi.
Harmonize na mondi ni kama masteringi wa kichina na mamasta wao, masta anamfundisha steringi, adui atakuja kumuua masta wake ila wanafunzi anaua kiboko ya masta wake.
Ukimsikiliza mjomba nchumali vizuri kuna vitu utaviona, ila ndio hivyo tena mungu hakupi vyote. Ngoma NITAUBEBA, WOTE, TENA, amelowa, zanzibar na nyingine kama 5 hivi, nimesikiliza kisha nikabaki natikisa kichwa kumuheshimu huyu mmakonde.
Mondi ni sir alex ferguson, pep guardiola afanye anavyoweza kufanya, likitajwa jina la fergie ni jambo jingine, heshima yake ni kubwa zaidi, japo takwimu zinambeba pep