MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Iyo kiukweli nimepanga ilimradi ila siwezi kupangua kwa heshima aliyokua nayo kwenye huu mziki wetuNamba 7,
Umepanga kwa ubora au ili mradi?
huyo dogo ni fire huku kitaa6. Chino
Tobaaaaaaaaaaaa...!🙊
Harmonize alistaili kukaa Top ila Omary ni habari nyingineBaada ya kutosikiliza muziki muda mrefuuu, usiku wa leo(kiswahili usiku wa jana) nilipata mizuka, nikaona kila siku kina tupac na bob, ngoja nile za kizazi hiki, nikanogewa na mmakonde harmonize, ngoma kama
Nitaubeba.
Wote
Tena
Kuna moja jina sikumbuki anasema hana ushamba wa hela ndio maana hagombani na masela
ZANZIBAR, bonge la ngoma, hii zanziba watumie kama goma lao la taifa kiutalii.
Inanimaliza
Falling in love
Kuna moja anasema hata simu nikikupigia utaikata,
Nyingine sikumbuki kwa majina, kwemye uandishi na melody mmakonde hatari saana kale kajamaa.
Mario nilimsikiliza ila naona melody zinaingiliana kwa mbaaali, pia kwenye uandishi hana mistari mikali kama ya MJOMBA NCHUMALI.
Jana nimekuta youtube albamu kama 4 hivi za mjomba nchumali, nimezisikiliza karibia mgoma zote ni chache sana nimeruka.
Omary ndio nani!? Marioo!?Harmonize alistaili kukaa Top ila Omary ni habari nyingine
Mimi ni shabiki mkubwa sana wa mjomba nchumali ila kwa Omari anakaa bila wasiwasi.Omary ndio nani!? Marioo!?
Kama ni yeye, simkatai Mario ila harmonize kwangu nimeona ni bora zaidi, marioo amekuwa mtamu kwenye amapiano ngoma za kuchezeka zaidi na melody zake kiukweli hazitofautiani saaana.
Nikasiliza pia ngoma moja walifanya wote bado verse ya mjomba NCHUMALI ilikuwa moto zaidi, mjomba nchumali ana ujinga ujinga mwingi maishani mwake ila kiuandishi na melody ni balaa jingine.
Team HipHop nilijua tu lazima mharibu.List yangu
1. Young killer
2. Harmonize
3. B2k
4. Maua sama
5. Stamina
6. Younglunya
7. Jay melod
Lunya na Toxic Fuvu nani mkali?Hii list bila lunya MBUZI hamna kazi....
Hainaga vipimo chuki chuki
Nikipata mzuka wa kusikiliza tena, nitamsikiliza.Mimi ni shabiki mkubwa sana wa mjomba nchumali ila kwa Omari anakaa bila wasiwasi.
leo jipe muda kumsikiliza kisha leta mrejesho
Toxic ni underground bado...Lunya na Toxic Fuvu nani mkali?