Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Sema mwanangu wee ufatilii mambo kumbe....Team HipHop nilijua tu lazima mharibu.
Huyo Lunya juzi kakalishwa na mtoto mdogo Toxic Fuvu mpaka aibu naona mimi
Jay melody akija kuchokwa yule...Kwa hii miaka miwili. Marioo kasepa na kijiji. Japo naona, Jay melody nae anakuja vizuri.
Walio baki platform zinawabeba
Harmonize na marioo wamekimbiza ila boss chibu ana disntiction asiwekwe hapa.Nikipata mzuka wa kusikiliza tena, nitamsikiliza.
Kwako wewe ile ngoma yao naogopa, nani alimfunika mwenzie.
Pili unitajie ngoma zipi na zipi nisikilize, zisiwe za amapiano tu, nimesikiliza hizi ngoma zake, zinajirudia na msaada mkubwa ni BITI, Kifupi amapiano nimeona biti ndio linabeba haswa ngoma yenyewe.
Mimi napenda sana HipHop ila Lunya is overrated. Wasanii kama Barkelian, Bando Mc, Nyandu Tozzy and the likes wanatoa machupa makali ila media zinawasagia kunguniSema mwanangu wee ufatilii mambo kumbe....
Toxic anamipasho mtoto wa kiume uwezi ukachamba vile kama unaimba tarabu...
Angalia dis track anazotoa killer kwa lunya...
Angalia diss track alitotoa vina kwa raptcha....
Yaani zipo cool.. ndo mana nasema toxic bado yupo level za kufosi kik ..
Toxic kwa freestyle hakuna wa kumfikia
so long as anatoka Bongo lazima awekwe kwenye listHarmonize na marioo wamekimbiza ila boss chibu ana disntiction asiwekwe hapa.
Hipho ipo hivi...Mimi napenda sana HipHop ila Lunya is overrated. Wasanii kama Barkelian, Bando Mc, Nyandu Tozzy and the likes wanatoa machupa makali ila media zinawasagia kunguni
Hip Hop ni Lifestyle tena ile ngumu haswaa.!! Lunya ni mlaini sana kuliko ata Ebitoke mpaka kumuita Rapper naona jau.Hipho ipo hivi...
Ukisema wewe ufate nguzo amini kutoboa ngumu nyimbo zako watasikiliza wahuni tu wale wa hiphop kazi kazi mfano mcheki dizasta jamaa anajua ila hajawa global.
Hao uliotaja kina nyandu na bando wote now hawafati nguzo wana hiphop flan hivi simple kama kina ngwea ...
Sasa lunya MBUZI anatembea kinyamwezi sana nyimbo zake sio hiphop ngumu unakuta hata watoto wa kike wanatembea nazo..
Yupo global
Yeye ni exceptional kumlinganisha na harmonize au marioo he's next to next extra miles.so long as anatoka Bongo lazima awekwe kwenye list
Mlaini nakubali ila ni mnyamwezi...Hip Hop ni Lifestyle tena ile ngumu haswaa.!! Lunya ni mlaini sana kuliko ata Ebitoke sema ndo ivo Media zinambeba
Sahih, ila sio bora ni wenye juhud yaani wapambanaji. Wameweza kujibrand vyema.1. Marioo
2. Harmonize
3. Jay Melody
4. Mbosso
5. Jux
6. Chino
7. D. Platnumz
8. Zuchu
9. Alikiba
10. Nandy
Hizo takwimu ni kutokana na performance zao huku mtaani ndani ya miaka mitano ya hivi karibuni kulingana na mtazamo wangu.
Nipe List yako
Kila kitu kina peak yake, mondi aliifikiaga hiyo kitaambo, sasa anaishi kwa nguvu hiyo.Harmonize na marioo wamekimbiza ila boss chibu ana disntiction asiwekwe hapa.
Jaymelody ni mpemba kamir yule ile anaimba ni taarabu la kisasa, ati kuna wanaume wanasikiliza wanakarir na verse wanarudishia. Anajua ila anaregeza sana anatuboa wanaume aongeze uhuni.Jay melody akija kuchokwa yule...
Hatokuja kuchomoa kama mwenzake vanny mana habadilishi style
Chino ni habari nyingine, we hujiulizi kwanini Jaivah hayupo kwenye List.Nimeahangaa Chino kuwazid hao uliowaweka chini yake🤣😭
Au umetaja randomly mkuu?
We Huogopi
Anaboa mno...Jaymelody ni mpemba kamir yule ile anaimba ni taarabu la kisasa, ati kuna wanaume wanasikiliza wanakarir na verse wanarudishia. Anajua ila anaregeza sana anatuboa wanaume aongeze uhuni.
Labda kwa sababu sisikilizi piano ila kuna ile kaimba na Stamina anasema Nachange Vibe nilimkubali dogo anajua sema anacheza na upepo wa pesa tu.Chino ni habari nyingine, we hujiulizi kwanini Jaivah hayupo kwenye List.