Listening Audio Booth:John Malecela: Alichoongea

Malecela is a shrewd politician. Anajua kuwa Kikwete kashika mpini na yeyote atakayetaka kwenda against Kikwete, at least in the short term, ana kazi ngumu kwani Kikwete ana dola, na yeyote anayejikombakomba kwa Kikwete anapalilia ustawi wake.

Other than that, he was jsut exercising his "right" to be a senile old man, hajasikika siku nyingi alitaka watu wajue na yeye yupo, hamna chochote worthwile in my opinion alichosema.

- Mkuu na wewe useme unamtaka nani kugombea urais, hakuna politician asiyekua shrewd, uzee sio dhambi maana hata wazee wetu wengine ni wazee na hakuna noma uchaguzi ukija wanapiga kura kwa mgombea wanayemtaka,

- Mzee hakuongea lolote worthy kwako lakini kila kona ya forums malecela malecela sometimes mnachekesha, jana ametusaidia sana CCM na wanaotaka kuharibu amani yetu katika chama chetu.

Kidumu CCM!

FMES!
 
Kigumu!

So all politicians are shrewd politicians?

Kauli-mtu!

No wonder.
 
- Yaani ulikuwa hujui hili mkuu wangu?

So all politicians are shrewd politicians, either you don't understand the meaning of "shrewd" or "all"

It is quite possible that rationality and examination are things foreign

Including Dan Quayle?

quayle1.jpg

I rest my case
 
... Anajua kuwa Kikwete kashika mpini na yeyote atakayetaka kwenda against Kikwete, at least in the short term, ana kazi ngumu kwani Kikwete ana dola, na yeyote anayejikombakomba kwa Kikwete anapalilia ustawi wake.

...

Anapalilia uwaziri kwa Anne Kilango as anajua yeye yu hoi kiasiasa na kiumri, na bado anataka kula tamu ya nchi.
 
- Yeye amelitumikia taifa na CCM with honour, amefika mwisho amestaafu ndio mfano tunaoutaka Tanzania.

- Mama kilango ni independent politician asiyetgemea mtu, uwaziri sio nia yake maana biashara zake zitakufa in one day, hawezi kufanya ya uwaziri.

I beg to differ, ndege wanaofanana huruka pamoja, as Mr Malecela has already screwed up things up, so is Mrs Malecela. Don't expect anything different from the Malecela's.
 
- Wooow! what a statement! and what a judgement anyways siku zote waamuzi ni wananchi wa Tanzania, US Embassy wameshaanza tayari.

FMES!
 
KAULI YA MALECELA HAIKUTARAJIWA KWA SASA....na kila mtu atajiuliza kweli huyu ni malecela anamtetea kikwete?????...basi kweli siasa haina fomula!.........lakini huyo ndiye MALECELA HASWAAA....hata mwalimu alikuwa akimpenda sana ...tatizo lake moja tu walilokuwa wakitofautiana na mwalimu ni kuwa MALECELA HUWA HANA MSIMAMO WA KUDUMU!!!!!...BASI!................

na kama malecela ameweza kumsamehe kikwete kwa fitina na siasa chafu alizomfanyia ...basi nampa shahada ya uvumilivu na kusamehe!!!

Njaa ni kitu kibaya sana!!.....inanikumbusha mle makazini wale wazee ambao huwaamkia shikamoo vijana wadogo kabisa eti kwakuwa ni mabosi wao.
 
- Wooow! what a statement! and what a judgement anyways siku zote waamuzi ni wananchi wa Tanzania, US Embassy wameshaanza tayari.

FMES!

Except the two Malecela daughters, yaani Malecela wote ni mafisadi kuanzia wa mali hadi maneno. Hiyo zawadi kapewa kwa kupiga kelele mara moja bungeni na kuanhidi kwamba hapatakalika, mbona panakalika hadi leo?

Utawasema vipi kina Ananilea Nkya na Mama Kijo Bisimba? Labda kama wameshapata hizo awards. Lakini hawa ni baadhi ya kinamama wa shoka wanapiganaji mahiri kabisa.
 
- Ushahidi please!
 
Wa nini, hapa hakuna kujuana kujuana. Privacy pleaase!

- Kwani Kuhani leo alipoleta ushahidi wa kunga'tuka alikuwa anamjua nani hapa JF?

- Kama huna ushahidi wa ufisadi wa familia ya Malecela inaeleweka, ila ya kujuana hayana anything to with it, just ushaihdi tu na unaweza kuuweka hapa anytime ukijisikia.

FMES!
 
- Eti DK. Malecela ana njaa, kwa mtaji huu kumbe Mama Clinton naye ana njaaa?

Mzee miaka themanini badala kula pensheni, anafukuzia mafungu bungeni!

Kwa miaka 24 ya ubunge wake, amechangia vipi katika kuboresha maisha ya Wanamtera? Wanamtera wangapi wanatumia maji safi na salama, wanapata huduma ya hospitali, wanatumia umeme, wana barabara zinazopitika majira yote achia mbali za lami, wanapractice kilimo cha kisasa, wanangapi wanajua kusoma na kuandika, wanafunzi wangapi wanakaa chini kwa kukosa madawati? wangapi wanaishi kwenye nyumba bora na sio matembe?
 
- Marupu rupu anayopewa na serikali hahitaji hela tena wala kufukuzia anything, mimi ni mkazi wa Mtera, nimemchagua kuniwakilisha bungeni na ikibidi nitamchagua tena next uchaguzi kwa sababu, leo Mtera ndio jimbo pekee Tanzania nzima lenye zahanati na shule kwenye kila kata ya jimbo.

- Bara bara ya Dodoma mjini kwenda Mvumi sasa ni tambarare dakika 30 tu against masaa mawili ya zamani, vitabu mashuleni vya kumwaga baada ya uleta kontena toka Uk.

Anyways naona sasa ni wakati muafaka wa kuretire huu mjadala. ila idumu CCM.

Respect.

FMES!

- Marupu rupu anayopewa na serikali hahitaji hela tena wala kufukuzia anything, mimi ni mkazi wa Mtera, nimemchagua kuniwakilisha bungeni na ikibidi nitamchagua tena next uchaguzi kwa sababu, leo Mtera ndio jimbo pekee Tanzania nzima lenye zahanati na shule kwenye kila kata ya jimbo.

- Bara bara ya Dodoma mjini kwenda Mvumi sasa ni tambarare dakika 30 tu against masaa mawili ya zamani, vitabu mashuleni vya kumwaga baada ya uleta kontena toka Uk.

Pato la mwananchi wa kawaida wa Mtera ni shilingi ngapi kwa Mwaka, je pato hilo hilo ndio wewe na Malecela mnalipata kwa mwaka au kama ni kuwazidi mnawazidi kwa asilimia ngapi?
 
Back
Top Bottom