Lisu kaonyesha ukomavu wa hali ya juu ktk siasa

generationn Z

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2025
Posts
454
Reaction score
748
Sifatiliagi siasa sana ila huyu mwamba kanivutia na kunifanya nipende kufatilia habari zake

1>kusota kote gerezani. hii inaonyesha jamaa hanunuliki kirahisi km walivowanasiasa wengne

2>kuendelea kusimamia kile anachoamini...hapa pia ameupiga mwing sana hapa Tz si rahisi kupata mtu km huyu

3>uelewa mpana wa kisheria...binafsi nikisikiliza hoja zake huwa kun mengi ya kujifunza

4>anapokuwa kizimbani akipewa nafasi ya kuongea hata hakimu jasho lazma limtoke maana ni mtu anaenenda jno kwa jino hana uoga so hakika ameonyesha uthubutu mkubwa sana
 
Hawa watu wanazaliwa mmoja kwa century.

Hakika Lissu ni ufufuko wa Mandela Tanzania. Am really proud of this amazing human being.
Im very proud of Lissu. Huyu mwamba akishika nchi kuna vitu vingi sana vizuri vitaletwa. Na kitu kimoja ni kwamba hata cheza na rushwa kabisa.
Akina Mbowe walikuwa wanapiga mikelele tu kumbe walikuwa wananunulika tu.
Ila ni ujinga wa hali ya juu sana kuudhaminisha utu wako na fedha.
 
Nakubali mkuu tena ukitaka uone mapokeo yake yatakavokuw makubwa ni ile siku akitoka gerezan
Dr hassan yupo kwenye comfort zone lakini ananunulika
What if angekuwa under pressure hali ingekuwaje?
Hili ndo swali huwa najiuliz mara nying
 
Sifatiliagi siasa sana ila huyu mwamba kanivutia na kunifanya nipende kufatilia habari zake

1>kusota kote gerezani. hii inaonyesha jamaa hanunuliki kirahisi km walivowanasiasa wengne

2>kuendelea kusimamia kile anachoamini...hapa pia ameupiga mwing sana hapa Tz si rahisi kupata mtu km huyu

3>uelewa mpana wa kisheria...binafsi nikisikiliza hoja zake huwa kun mengi ya kujifunza

4>anapokuwa kizimbani akipewa nafasi ya kuongea hata hakimu jasho lazma limtoke maana ni mtu anaenenda jno kwa jino hana uoga so hakika ameonyesha uthubutu mkubwa sana
Yes,
korokoroni ni pakukomaa haswa gentleman 🐒
 
Nakubali mkuu tena ukitaka uone mapokeo yake yatakavokuw makubwa ni ile siku akitoka gerezan
Labda wafiche, najua wataficha kumuachia kimya kimya tena usiku ila siku akitangaza ana mkutano hilo balaa lake sio poa.
Wauwaji hawajui wamempaisha na kumpa Lissu nyota kali.

Yaani saivi Lissu ni mara 3 wa yule wa zamani kutokana na MSIMAMO WA KUDAI HAKI YA WATANZANIA.
 
Im very proud of Lissu. Huyu mwamba akishika nchi kuna vitu vingi sana vizuri vitaletwa. Na kitu kimoja ni kwamba hata cheza na rushwa kabisa.
Akina Mbowe walikuwa wanapiga mikelele tu kumbe walikuwa wananunulika tu.
Ila ni ujinga wa hali ya juu sana kuudhaminisha utu wako na fedha.
Yaani acha tu ndgu kwa sasa hata mm nafeel kama wewe vile
 
Labda wafiche, najua wataficha kumuachia kimya kimya tena usiku ila siku akitangaza ana mkutano hilo balaa lake sio poa.
Wauwaji hawajui wamempaisha na kumpa Lissu nyota kali.

Yaani saivi Lissu ni mara 3 wa yule wa zamani kutokana na MSIMAMO WA KUDAI HAKI YA WATANZANIA.
Kawa zaidi ya dhahabu ilopita motoni
 
Back
Top Bottom