generationn Z
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 454
- 748
KabisaaHistoria itamkumbuka hakika.
Yawezakuwa mkuuKuna nguvu ya Mungu ( NATURE) nyuma yake
Nakubali mkuu tena ukitaka uone mapokeo yake yatakavokuw makubwa ni ile siku akitoka gerezanHawa watu wanazaliwa mmoja kwa century.
Hakika Lissu ni ufufuko wa Mandela Tanzania. Am really proud of this amazing human being.
Im very proud of Lissu. Huyu mwamba akishika nchi kuna vitu vingi sana vizuri vitaletwa. Na kitu kimoja ni kwamba hata cheza na rushwa kabisa.Hawa watu wanazaliwa mmoja kwa century.
Hakika Lissu ni ufufuko wa Mandela Tanzania. Am really proud of this amazing human being.
Nakubali mkuu tena ukitaka uone mapokeo yake yatakavokuw makubwa ni ile siku akitoka gerezanHawa watu wanazaliwa mmoja kwa century.
Hakika Lissu ni ufufuko wa Mandela Tanzania. Am really proud of this amazing human being.
Hili ndo swali huwa najiuliz mara nyingDr hassan yupo kwenye comfort zone lakini ananunulika
What if angekuwa under pressure hali ingekuwaje?
Yes,Sifatiliagi siasa sana ila huyu mwamba kanivutia na kunifanya nipende kufatilia habari zake
1>kusota kote gerezani. hii inaonyesha jamaa hanunuliki kirahisi km walivowanasiasa wengne
2>kuendelea kusimamia kile anachoamini...hapa pia ameupiga mwing sana hapa Tz si rahisi kupata mtu km huyu
3>uelewa mpana wa kisheria...binafsi nikisikiliza hoja zake huwa kun mengi ya kujifunza
4>anapokuwa kizimbani akipewa nafasi ya kuongea hata hakimu jasho lazma limtoke maana ni mtu anaenenda jno kwa jino hana uoga so hakika ameonyesha uthubutu mkubwa sana
Hakika hongera ziende kwakeHongera kwake
Sahihi kabisaUsisahau pia alikataa hongo la mhuni abdul alotumwa na mama yake
Kumbe kule anakomaa akitoka ni zaidi ya chuma mbna wataisom nambaYes,
korokoroni ni pakukomaa haswa gentleman 🐒
Labda wafiche, najua wataficha kumuachia kimya kimya tena usiku ila siku akitangaza ana mkutano hilo balaa lake sio poa.Nakubali mkuu tena ukitaka uone mapokeo yake yatakavokuw makubwa ni ile siku akitoka gerezan
Yaani acha tu ndgu kwa sasa hata mm nafeel kama wewe vileIm very proud of Lissu. Huyu mwamba akishika nchi kuna vitu vingi sana vizuri vitaletwa. Na kitu kimoja ni kwamba hata cheza na rushwa kabisa.
Akina Mbowe walikuwa wanapiga mikelele tu kumbe walikuwa wananunulika tu.
Ila ni ujinga wa hali ya juu sana kuudhaminisha utu wako na fedha.
Kawa zaidi ya dhahabu ilopita motoniLabda wafiche, najua wataficha kumuachia kimya kimya tena usiku ila siku akitangaza ana mkutano hilo balaa lake sio poa.
Wauwaji hawajui wamempaisha na kumpa Lissu nyota kali.
Yaani saivi Lissu ni mara 3 wa yule wa zamani kutokana na MSIMAMO WA KUDAI HAKI YA WATANZANIA.