Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Lissu akishika Nchi tunaenda kuwa South Africa ya Mandela.Im very proud of Lissu. Huyu mwamba akishika nchi kuna vitu vingi sana vizuri vitaletwa. Na kitu kimoja ni kwamba hata cheza na rushwa kabisa.
Akina Mbowe walikuwa wanapiga mikelele tu kumbe walikuwa wananunulika tu.
Ila ni ujinga wa hali ya juu sana kuudhaminisha utu wako na fedha.
Hakika na hii ndo nchi ninayoingojeaLissu akishika Nchi tunaenda kuwa South Africa ya Mandela.
Hana mchezo kabisa wa masuala ya haki na maendeleo ya watu.
Tutaendelea kwasababu ufisadi na wizi wa rasilimali zetu utakoma. Hicho ndio chanzo cha Tanzania kuwa maskini.
kule hachomoki gentleman na minywele yake ya kutibua kama mwendawazimuKumbe kule anakomaa akitoka ni zaidi ya chuma mbna wataisom namba
😂😂😂kule hachomoki gentleman na minywele yake ya kutibua kama mwendawazimu
Mwenyezi Mungu ampe hekima na moyo wa subra.Sifatiliagi siasa sana ila huyu mwamba kanivutia na kunifanya nipende kufatilia habari zake
1>kusota kote gerezani. hii inaonyesha jamaa hanunuliki kirahisi km walivowanasiasa wengne
2>kuendelea kusimamia kile anachoamini...hapa pia ameupiga mwing sana hapa Tz si rahisi kupata mtu km huyu
3>uelewa mpana wa kisheria...binafsi nikisikiliza hoja zake huwa kun mengi ya kujifunza
4>anapokuwa kizimbani akipewa nafasi ya kuongea hata hakimu jasho lazma limtoke maana ni mtu anaenenda jno kwa jino hana uoga so hakika ameonyesha uthubutu mkubwa sana
Ni kweliKuna nguvu ya Mungu ( NATURE) nyuma yake
AmeenMwenyezi Mungu ampe hekima na moyo wa subra.
He was chosen for this, si unakumbuka walitaka kummaliza but God said no?Sifatiliagi siasa sana ila huyu mwamba kanivutia na kunifanya nipende kufatilia habari zake
1>kusota kote gerezani. hii inaonyesha jamaa hanunuliki kirahisi km walivowanasiasa wengne
2>kuendelea kusimamia kile anachoamini...hapa pia ameupiga mwing sana hapa Tz si rahisi kupata mtu km huyu
3>uelewa mpana wa kisheria...binafsi nikisikiliza hoja zake huwa kun mengi ya kujifunza
4>anapokuwa kizimbani akipewa nafasi ya kuongea hata hakimu jasho lazma limtoke maana ni mtu anaenenda jno kwa jino hana uoga so hakika ameonyesha uthubutu mkubwa sana
We kwl hamnazo angefanya nini, anapenda kuwa gerezani? Hilo la kununulika ni propaganda za kizushi, hakuna aliyempelekea pesa, labda utuambie km we ulikuwepo wakati wa makubaliano. Nyie ni km wanawake makahaba mnajipendekeza wakati hakuna mwenye muda nanyi. Mara chadema wasikubali maridhiano, wapi CCM au serikali imesema inataka maridhiano na chadema? Sahv eti Lissu alitaka kuhongwa, leteni ushahidi siyi mnaishi kwa uzushi na hisia. Km jana naibu waziri amezomewa chadema wameshachukua km inawahusu, kile kilikuwa kikao cha chadema? Hamuoni hata haya?Sifatiliagi siasa sana ila huyu mwamba kanivutia na kunifanya nipende kufatilia habari zake
1>kusota kote gerezani. hii inaonyesha jamaa hanunuliki kirahisi km walivowanasiasa wengne
2>kuendelea kusimamia kile anachoamini...hapa pia ameupiga mwing sana hapa Tz si rahisi kupata mtu km huyu
3>uelewa mpana wa kisheria...binafsi nikisikiliza hoja zake huwa kun mengi ya kujifunza
4>anapokuwa kizimbani akipewa nafasi ya kuongea hata hakimu jasho lazma limtoke maana ni mtu anaenenda jno kwa jino hana uoga so hakika ameonyesha uthubutu mkubwa sana
Hujakosea hata kidogo.Sifatiliagi siasa sana ila huyu mwamba kanivutia na kunifanya nipende kufatilia habari zake
1>kusota kote gerezani. hii inaonyesha jamaa hanunuliki kirahisi km walivowanasiasa wengne
2>kuendelea kusimamia kile anachoamini...hapa pia ameupiga mwing sana hapa Tz si rahisi kupata mtu km huyu
3>uelewa mpana wa kisheria...binafsi nikisikiliza hoja zake huwa kun mengi ya kujifunza
4>anapokuwa kizimbani akipewa nafasi ya kuongea hata hakimu jasho lazma limtoke maana ni mtu anaenenda jno kwa jino hana uoga so hakika ameonyesha uthubutu mkubwa sana
Sasa mtu kama wewe wamekuokota wapi wewe?We kwl hamnazo angefanya nini, anapenda kuwa gerezani? Hilo la kununulika ni propaganda za kizushi, hakuna aliyempelekea pesa, labda utuambie km we ulikuwepo wakati wa makubaliano. Nyie ni km wanawake makahaba mnajipendekeza wakati hakuna mwenye muda nanyi. Mara chadema wasikubali maridhiano, wapi CCM au serikali imesema inataka maridhiano na chadema? Sahv eti Lissu alitaka kuhongwa, leteni ushahidi siyi mnaishi kwa uzushi na hisia. Km jana naibu waziri amezomewa chadema wameshachukua km inawahusu, kile kilikuwa kikao cha chadema? Hamuoni hata haya?
Kabisa na nilitaman tuwe na watu km hawa weng kwa maslahi ya nchiHujakosea hata kidogo.
Kwa wakati huu na hali Tanzania iliyomo. Tundu Lissu kaonyesha msimamo wa kijasiri sana.
Angekuwa ni mtu legelege, kule kunusurika tu kuuawa, tukio hilo lilitosha kabisa kumnyamazisha, asisikike tena.
Ni binaadam wachache katika jamii wenye aina ya sifa anazoonyesha Tundu Lissu. Wengi wao hata hawasikiki kabisa.
Ni hatar nduguKuna wanajeshi wameota hadi vitambi huko jeshi la wanaccm hawajawahi kupigwa hata risasi moja .
Ila kuna Lissu aliyepigwa risasi 16 na bado anadunda .
Now wanapingana nae wakijua ni yeye tu kumbe kuna kusudi la mungu mbele akeHe was chosen for this, si unakumbuka walitaka kummaliza but God said no?