generationn Z
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 454
- 748
- Thread starter
-
- #41
Huyo atakuwa ana matatizo yake binafsi na chamaSasa mtu kama wewe wamekuokota wapi wewe?
Kuna kipi hapa katika andishi lako hili kinachoonyesha kuwa Samia Suluhu Hassan anafanya kazi nzuri sana inayowafanya waTanzania wamkubali kama kiongozi wao.
Unatumia muda wote kuwazungumzia CHADEMA kana kwamba ndio wanaokulipa!
Au unalipwa kwa wingi wa maandishi hata ya kipuuzi kama hili unayojaza JF?
Kikao cha chadema ?We kwl hamnazo angefanya nini, anapenda kuwa gerezani? Hilo la kununulika ni propaganda za kizushi, hakuna aliyempelekea pesa, labda utuambie km we ulikuwepo wakati wa makubaliano. Nyie ni km wanawake makahaba mnajipendekeza wakati hakuna mwenye muda nanyi. Mara chadema wasikubali maridhiano, wapi CCM au serikali imesema inataka maridhiano na chadema? Sahv eti Lissu alitaka kuhongwa, leteni ushahidi siyi mnaishi kwa uzushi na hisia. Km jana naibu waziri amezomewa chadema wameshachukua km inawahusu, kile kilikuwa kikao cha chadema? Hamuoni hata haya?
Mistake kubwa ilikua mwenyekiti wa chama hiyo CCM ndoIm very proud of Lissu. Huyu mwamba akishika nchi kuna vitu vingi sana vizuri vitaletwa. Na kitu kimoja ni kwamba hata cheza na rushwa kabisa.
Akina Mbowe walikuwa wanapiga mikelele tu kumbe walikuwa wananunulika tu.
Ila ni ujinga wa hali ya juu sana kuudhaminisha utu wako na fedha.
Lissu alikwenda gerezani akiwa na umaarufu wa 75%. Baada ya kukaa gerezani, sasa hivi umaarufu umefikia 98%. Ni wengi wamekuwa mashabiki wake kwa sababu ya kufungwa kwake.Sifatiliagi siasa sana ila huyu mwamba kanivutia na kunifanya nipende kufatilia habari zake
1>kusota kote gerezani. hii inaonyesha jamaa hanunuliki kirahisi km walivowanasiasa wengne
2>kuendelea kusimamia kile anachoamini...hapa pia ameupiga mwing sana hapa Tz si rahisi kupata mtu km huyu
3>uelewa mpana wa kisheria...binafsi nikisikiliza hoja zake huwa kun mengi ya kujifunza
4>anapokuwa kizimbani akipewa nafasi ya kuongea hata hakimu jasho lazma limtoke maana ni mtu anaenenda jno kwa jino hana uoga so hakika ameonyesha uthubutu mkubwa sana
Wanasem kumpiga chura teke nisawa umebost safar akeLissu alikwenda gerezani akiwa na umaarufu wa 75%. Baada ya kukaa gerezani, sasa hivi umaarufu umefikia 98%. Ni wengi wamekuwa mashabiki wake kwa sababu ya kufungwa kwake.
Lissu ni sauti ya mtaa muhuni yule kweli jela amekaa utamwambia nini Bungeni kakaa kazi zake nyingi zinajieleza ukitoa mapungufu Machache ni Mtu Sheria imelala pale sheria pale ndo nyumbani kwao. Nashangaa heti nitakinukisha liwe neno laLissu alikwenda gerezani akiwa na umaarufu wa 75%. Baada ya kukaa gerezani, sasa hivi umaarufu umefikia 98%. Ni wengi wamekuwa mashabiki wake kwa sababu ya kufungwa kwake.
Tunaitaji kupata kitabu cha Maisha yake wajue Lissu ni nani Kuna mengi sana wengi hawayajui ya Lissu Toka JKT itende Advance shue aliosoma na Pascal Mayalla anajua visa vingi vya Lissu tukipata kitabu cha Lissu kitauza sanaHawa watu wanazaliwa mmoja kwa century.
Hakika Lissu ni ufufuko wa Mandela Tanzania. Am really proud of this amazing human being.
Wazo zuri sana. Imebaki utekelezaji.Tunaitaji kupata kitabu cha Maisha yake wajue Lissu ni nani Kuna mengi sana wengi hawayajui ya Lissu Toka JKT itende Advance shue aliosoma na Pascal Mayalla anajua visa vingi vya Lissu tukipata kitabu cha Lissu kitauza sana
Tanga alifukuzwa shule mzee mmoja akaenda kumwombea arudi shule maana ana akili mtu bakiWazo zuri sana. Imebaki utekelezaji.
Ila jamaa akiwa raisi. Watu wenye fani za sheria watapiga sana pesaaMo
Mistake kubwa ilikua mwenyekiti wa chama hiyo CCM ndo
Walitakiwa kujua sasa siasa zimebadikika sio za kitaperi Maguli na Lissu walitofautiana padogo wote sio watu wa rushwa wakweli sema
Mmoja ni mtu wa kupenda HAKI kwanza Mwingine mzee wa Maendeleo kwanza HAKI baadae . Ukiwa mtu wa maendeleo kwanza Haki baadde hapo jua utavunja sheria utavunja HAKI hapo ndo Lissu ndo alitofautiana na Magufuli all in All Lissu anasoma sana ama
IQ kubwa sana ni Best Lissu akiwa Rais watu wengi watafungwa kwa HAKI maana sio mtu wa rushwa Tanzania inaweza kubadilika sheria na HAKI nado vinafanya Uingereza kuonekana ni binadamu waliostariba kuzidi binadamu wote
Naaam Kwenye faini za sheria unajua pesa zinaenda kwa mpenda haki na Sheria ulaya wanasheria Kali sana lakini pesa zinaenda sehemu zinafanya kazi kwenye jamiiIla jamaa akiwa raisi. Watu wenye fani za sheria watapiga sana pesaa
Kukiwa na utawala wa sheria na haki maana yake watu wengi kwenye makesi watakimbilia mahakamani, sababu mahakama itaaminika sana na kuwa kimbilio, hivyo wanasheria watahitajika sana.Naaam Kwenye faini za sheria unajua pesa zinaenda kwa mpenda haki na Sheria ulaya wanasheria Kali sana lakini pesa zinaenda sehemu zinafanya kazi kwenye jamii
Shida ya Lissu anajua vitu mpaka ana keraSifatiliagi siasa sana ila huyu mwamba kanivutia na kunifanya nipende kufatilia habari zake
1>kusota kote gerezani. hii inaonyesha jamaa hanunuliki kirahisi km walivowanasiasa wengne
2>kuendelea kusimamia kile anachoamini...hapa pia ameupiga mwing sana hapa Tz si rahisi kupata mtu km huyu
3>uelewa mpana wa kisheria...binafsi nikisikiliza hoja zake huwa kun mengi ya kujifunza
4>anapokuwa kizimbani akipewa nafasi ya kuongea hata hakimu jasho lazma limtoke maana ni mtu anaenenda jno kwa jino hana uoga so hakika ameonyesha uthubutu mkubwa sana
Siamini katika Mungu lakini kwa Lissu kuna Super Natural SpiritsKuna nguvu ya Mungu ( NATURE) nyuma yake
TAL = Tanzania's president in waiting ...Sifatiliagi siasa sana ila huyu mwamba kanivutia na kunifanya nipende kufatilia habari zake
1>kusota kote gerezani. hii inaonyesha jamaa hanunuliki kirahisi km walivowanasiasa wengne
2>kuendelea kusimamia kile anachoamini...hapa pia ameupiga mwing sana hapa Tz si rahisi kupata mtu km huyu
3>uelewa mpana wa kisheria...binafsi nikisikiliza hoja zake huwa kun mengi ya kujifunza
4>anapokuwa kizimbani akipewa nafasi ya kuongea hata hakimu jasho lazma limtoke maana ni mtu anaenenda jno kwa jino hana uoga so hakika ameonyesha uthubutu mkubwa sana
Pascal Mayalla ata kama anajua vizuri historia ya Lissu hawezi kuieleza kama ilivyo. Huyu mzee naona ameshanunulika tu. Kwa kweli tunahitaji Lissu aandike kitabuTunaitaji kupata kitabu cha Maisha yake wajue Lissu ni nani Kuna mengi sana wengi hawayajui ya Lissu Toka JKT itende Advance shue aliosoma na Pascal Mayalla anajua visa vingi vya Lissu tukipata kitabu cha Lissu kitauza sana
Na kwa kweli hakuna kitu kizuri kuishi kwenye nchi inayofuata sheria. Yaani ni raha sana. Uwe una fedha ama huna bado sheria itakulinda tu.Ila jamaa akiwa raisi. Watu wenye fani za sheria watapiga sana pesaa