Lisu ni mtu sahihi Kwa Taifa letu ila Taifa letu Lina ushabaki wa wa upendeleo wa chama tawala

Usisahau, Watu sahihi hawatakiwi kwenye uongozi wa nchi.
Vibaraka na Machawa ndio wenye sifa.
 
🤝
Lissu anafaa kuwa rais bila kujali chama alichopo, n bc tuu watz n vichwa maji. Tunamuhitaji JPM wa pili ambaye ni Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…