4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Maswali ya kijinga kabisa ,uyo sijui Abdul alienda kwa lissu kufanya nini, na kama alijitapa kwamba madai yake anaweza kuyashughulikia mpaka akafika kwa lissu nyumbani kwake so lissu kumpa vielelezo ambavyo ni used (maana alisha vituma kwa mamlaka shida ipo wapi?)Jana clubhouse umerudia kuwa Abdul alitaka kukuhonga.
SWALI KUBWA: ALITAKA KUKUHONGA ILI UFANYE NINI?
Wenje amesema alimpeleka kwako ili akusaidie kupata fedha zako. Je ni kweli ulituma covering letter kwa email ya Abdul? What does that mean? it means ulikuwa na mahusiano mema na Abdul, why leo unamkana na "kumpakazia" hongo?
On top of that
1.Tukikuta covering letter ya kuomba madai yake kwenye email ya Abdul kama alivyosema Wenje tukuelewe vipi?
2. Clip ikitoka Lisu anaomba radhi kamati kuu kwa kusema uongo kama alivyodai Wenje tuelewe nini?
3. Ukiletwa ushahidi wa mafaili ya Mbowe kununua magari kwenye mnada wa ubalozi wakati yeye Lisu alidai kuwa Mbowe alikuwa amehongwa na serikali tumuelewe vipi?
Je Abdul alienda kwa lissu akiwa mtupu mkononi?
Kama sivyo lissu alikataa rushwa ya maneno au keshi , na kama ni keshi kwa nini aliikataa keshi ili hali anataka jasho lake halali .
Lissu sio mwendawazim asikilizwe ,yupo na hoja muhim sana ,sema tunajitoa ufaham shindwa kutafakari maneno yake kwa kina.