Liswemwalo lipo: Je, ni kweli kuna uchotwaji wa kutisha wa pesa na madini huko BoT?

Hapo nimekuelewa ,kiukwel pana ugumu km ndio hivyo ,ila why rais awe na waswas had kupeleka uchunguz wakat Ni ngumu kias hicho kuchotwa pesa ya pale Bot? Nadhan Kuna mamafia Zaid ya tujuavyo sisi
 
awamu iliyopita inakuwaje na madudu zaidi wakati,hata wewe umesema majanga yanaonekana kutokea baada ya mzee kuwa na hali mbaya.

ndio maana hata bimkubwa amaetaka ripoti ianzie januari,mama ni muumini mzuri wa itikadi za jpm.
 
Bahati nzuri mama kaagiza uchunguzi ufanyike kule BOT mbivu na mbichi zitajulikana haraka sanaaaa
 
Wanazima camera wanadai wapo kwenye matengenezo ya hizo camera then kitu kinapigwa
 
mnazungumzia camera kwa viongozi wenye dhamana BOT au mnadhani walikwenda kuiba na mapanga!!!!
 
Wanazima camera wanadai wapo kwenye matengenezo ya hizo camera then kitu kinapigwa

hakuna kitu kinaitwa kuzima camera,camera ziko on 24/7.
pesa BOT inachukuliwa mkuu haiporwi wala kuibwa,isipokuwa taratibu za uidhiniahaji ndio zinakuwa sio halali,ila mpunga unatoka swiftlly na escort ya police unapewa.
 
awamu iliyopita inakuwaje na madudu zaidi wakati,hata wewe umesema majanga yanaonekana kutokea baada ya mzee kuwa na hali mbaya.

ndio maana hata bimkubwa amaetaka ripoti ianzie januari,mama ni muumini mzuri wa itikadi za jpm.
Madudu gani mkuu?
 
Hv nyiny mnafikir BOT ni CRDB eeh ila taasisi nyet bila wakubwa hupig niliwah ingia mule ndan aiseee kila kona camera
Umewaza kitoto sana
Hivi kwa dhamana aliyokuwa nayo dotto au bashiru angeagiza pesa itoke Bot kwajili ya matibabu feki ya jiwe isingetoka? Au nyie suala la kukwapua mnafikiria kwamba walienda na mapanga na marungu?
 
kama ni kweli basi hizo ni pesa za wananchi zimekwapuliwa basi uchunguzi wa kina ufanyike na wanachi tufahamu matokeo ya uchunguzi, na endapo kutabainika basi walio husika wachukuliwe hatua kali za kisheria ikiwemo kutaifisha mali zao zote bila huruma.
tunaimani na Kamanda Mkuu wa TAKUKURU Bregedia Mbungu, tafadhali chonde chonde kuwa mzalendo kwa Taifa lako.
 
Hivi Doto James yupo wapi sijamuona popote hata msibani, au mawani yangu yanashida yakutoona vizuri
 
Wanazima camera wanadai wapo kwenye matengenezo ya hizo camera then kitu kinapigwa
Nyoko !!! Kafanye ivyo NMB sio BOT hujawah kufika 2w ndio maana una bwabwaja hapa ulinzi wa pale si wa kitoto system zao ndio usipime mpka uzihack basi lazima iwe compuyer imekaaa kichwan ni balaa juu ya balaa labda uchezedili na wakubwa tena sio mmoja 10 au 20
 
mnazungumzia camera kwa viongozi wenye dhamana BOT au mnadhani walikwenda kuiba na mapanga!!!!
Ndio hapo sasa. Waliochota wechota kwa kusaini kabisa na kwa taratibu zote za kutoa ela ndio maana BOT haijavunjwa ye anazungumzia camera as if ni watu wa nje.ni watu wale wale wale wanaosaini ela za mishahara na miradi sasa wamesaini ela ya kampeni. Ndio maana mama kaitisha Uchunguzi watu wanajua kila kitu
 
Umewaza kitoto sana
Hivi kwa dhamana aliyokuwa nayo dotto au bashiru angeagiza pesa itoke Bot kwajili ya matibabu feki ya jiwe isingetoka? Au nyie suala la kukwapua mnafikiria kwamba walienda na mapanga na marungu?
We ndio unawaza kitoto bashiru bila wakubwa pale hapig landa uyp dptto james kidogo ataweza lkn itabid ashirikiane na watu zaid ya
 
Auditing ya January hadi March 2021 kama ilivyoelekezwa leo inaweza kuja na majibu kuhusiana na haya.
 
We ndio unawaza kitoto bashiru bila wakubwa pale hapig landa uyp dptto james kidogo ataweza lkn itabid ashirikiane na watu zaid ya
Naona bado unaendelea kuwaza kitoto. Unafikiri mama ni mjinga kuagiza uchunguzi ufanyike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…