Liswemwalo lipo: Je, ni kweli kuna uchotwaji wa kutisha wa pesa na madini huko BoT?

Endelea kutetea uozo?? Maana hata kifo tu ulikataa

kama walisubiri mzee afariki ndipo waibe,unapata picha ipi!!!
by the way uadilifu wa mtu unapimwa anapopewa dhamana.
huku kwingine kelele ni nyingi sana sababu tupo tupo tu.
 
Hali yake ni tete.. Mwendazake alimbeba sana.

View attachment 1737034

View attachment 1737035
Nitakuwa soo disappointed ikiwa huyu mtu ameshiriki kwenye ubadhirifu wa aina yoyote ile wa mali ya umma. Ni mhadhri aliyenifundisha kwa miaka miwili na siku zote niliona integrity ndani yake. Nakumbuka mhadhara wake mmoja nilioupenda juu ya uwajibikaji. Nakumbuka alisema kuwa mtumishi wa umma anawajibika kwa taasisi anayofanyia kazi, bunge na mahakama...Sijui ni nini kimempata mpaka aingie kwenye kashfa ya uporaji fedha! Au ni siasa tu. Bado naamini Yuko safi na hasa imani na msimamo wake juu ya Azimio la Arusha.

Ingawa Mara fulani sikupenda approach yao yeye na Pole Pole kwa Rais mstaafu wa awamu ya nne, bado nina imani ni mtu Safi au labda aliingizwa mkenge
 
Pole Mkuu.. Hata Shetani alikuwa Malaika.. tena Mkuu.
 
Hv nyiny mnafikir BOT ni CRDB eeh ila taasisi nyet bila wakubwa hupig niliwah ingia mule ndan aiseee kila kona camera
Daaah we jamaa huon aibu kuandika pumba hivi, yaan wiz wa mapesa umasema kuna Camera!!!!? Kwaiyo unawaza kuwa ni wiz wa kutumia nguvu etiiii!!??? Yaan mimekosa jibu lepes kukujibu
 
kama walisubiri mzee afariki ndipo waibe,unapata picha ipi!!!
by the way uadilifu wa mtu unapimwa anapopewa dhamana.
huku kwingine kelele ni nyingi sana sababu tupo tupo tu.
Na zile hasara je za ndege??
FB_IMG_16169329703719981.jpeg
 
Back
Top Bottom