Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo kawaza kipuuzi sna eti Kuna kamera nilicheka tu alivyo inaelkea ufahamu wake Ni mdog San ktk maswla nyetiUmewaza kitoto sana
Hivi kwa dhamana aliyokuwa nayo dotto au bashiru angeagiza pesa itoke Bot kwajili ya matibabu feki ya jiwe isingetoka? Au nyie suala la kukwapua mnafikiria kwamba walienda na mapanga na marungu?
Kumbee afadhali sio Siri na upinzani wangu nauona mwanga flani kwa huyu mama wa ccmHuyu alishavuta?
Ahaaha wew dogo inaonesha wew ujui lolote kuhusu uchotaji pesa hasa BOT kamera inasaidia nn Apo Sasa ...umewaza kiujing saana inaonesha ujui maswala nyeti uko tu humu kimakosaHv nyiny mnafikir BOT ni CRDB eeh ila taasisi nyet bila wakubwa hupig niliwah ingia mule ndan aiseee kila kona camera
Hiyo alidhani Waziri ndio anatoa pesa,hajui maana ya Dotto kuwa Katibu Mkuu Hazina na Mlipaji Mkuu wa Serikali.kwenye Nchi yeye ndio Top wa kuamuru pesa itoke au isitoke.Umewaza kitoto sana
Hivi kwa dhamana aliyokuwa nayo dotto au bashiru angeagiza pesa itoke Bot kwajili ya matibabu feki ya jiwe isingetoka? Au nyie suala la kukwapua mnafikiria kwamba walienda na mapanga na marungu?
Endelea kutetea uozo?? Maana hata kifo tu ulikataaawamu iliyopita inakuwaje na madudu zaidi wakati,hata wewe umesema majanga yanaonekana kutokea baada ya mzee kuwa na hali mbaya.
ndio maana hata bimkubwa amaetaka ripoti ianzie januari,mama ni muumini mzuri wa itikadi za jpm.
Wakuu habari zenu,
R.I.P jemedali na mbabe wa vita JPM.
Kumekuwa na habari zikizunguka mtandaoni siku nyingi kabla hata ya Rais kutangazwa kifo, kwamba huko benki Kuu yetu ya Taifa kuna watu wamekwapua pesa na madini.
Hiki kilikuwa kipindi ambacho tetesi zimezagaa kwamba Rais anaumwa na baadae zikaenea kwamba ameaga dunia kabla mamlaka husika ya serikali kuthibisha.
Hatimaye, Serikali ikathibitisha Rais ameaga dunia, na tayari tumezika cha kushangaza leo CAG na TAKUKURU wametoa ripoti zao mbele ya Rais mpya mama Samia....Na mama ameagiza uchunguzi ufanyike BOT kuanzia january mpaka march 2021.
Je mama kanusa harufu ya hatari kama taarifa zinavyosambaa mtandaoni kwa mda mrefu sasa?
Na kwa nini iwe january mpaka march? Hapa ndio napata ukakasi zaidi..maana kipindi hiki ndio hali ya Rais JPM ilianza kuteteleka na hatimaye uvumi wa kupora pesa BOT kwa kufoji sign yake ukazagaa...
Kama ni kweli, awamu iliyopita inaweza kuwa na madudu mengi zaidi..
Tusubiri..mda haujawahi kuongopa.
Unazo wewe😎😎😎😎!Mbona hela kidogo tu hizo.
Makabwela bana!
Hizi hela mnaweza beba box huko mpaka kizazi chako cha million kijacho, bado msipate robo yake.Mbona hela kidogo tu hizo.
Makabwela bana!
MSIBANI ALIKUWEPO ACHA UWONGOHivi Doto James yupo wapi sijamuona popote hata msibani, au mawani yangu yanashida yakutoona vizuri