Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Bei zinatofautiana kutokana na mkoa uliopo.Naomba kuuliza lita 1 ya petrol inaweza kutembea kilomita ngapi kwa pikipiki za TVS
Kingine naomba kujua bei ya petrol lita 1 ni shilingi ngapi kwa sasa.
Umean kilomota 50/litremkuu?? By the way mimi sibebi mzigo wala abiria na nipo town tu hapa k/nyama hakuna mabonde wala milimaBei zinatofautiana kutokana na mkoa uliopo.
Kwa Dar Petrol kwa sasa ni 3200 Tsh.
TVS vina engine ndogo cc 125 vinaweza kwenda hadi kilometa 50 kwenda juu, factors zipo nyingi mfano uendeshaji, milima au tanbarare, mzigo uliobeba service history...
Nipo dar mkuuBei zinatofautiana kutokana na mkoa uliopo.
Kwa Dar Petrol kwa sasa ni 3200 Tsh.
TVS vina engine ndogo cc 125 vinaweza kwenda hadi kilometa 50 kwenda juu, factors zipo nyingi mfano uendeshaji, milima au tanbarare, mzigo uliobeba service history...
Ndio mkuu.Umean kilomota 50/litre
Kwenye ulaji wa wese pikipiki izo ndogo usiogope. Kama unataka uimiliki kwaajili y misele yako binafsi ni efficient sana kwenye wese. We wazia vitu vingine kama usalama wako barabarani na kuibiwa.Nipo dar mkuu
Aisee very cheap shukran kwa taarifaNdio mkuu.
Unataka ya misele binafsi?Aisee very cheap shukran kwa taarifa
Ni misele tu ya binafsi tena ni humu humu kuzunguka sinza kurudi makumbusho mwisho mwananyamala kurudi kijitonyama.Unataka ya misele binafsi?
Acha bacヾ( ̄▽ ̄)Bye~Bye~
Aisee kumbe kitonga sanaLita unakwenda wiki kwa misele ya dar
Ndio tena kama mpya na Road imenyoook TVS unaenda hadi kilomita 65Umean kilomota 50/litre
Mi nimewahi miliki pikipiki mbili tu, KTM cc390 na CBR cc650. Nilipewa maangalizo mawili makubwa Wekeza Sana kwenye Usalama wako (Safety Gears) na kua na heshima sana barabarani.Ni misele tu ya binafsi tena ni humu humu kuzunguka sinza kurudi makumbusho mwisho mwananyamala kurudi kijitonyama.
Job huwa naenda na daladala tu sipendi kurisk maisha yangu mzee kwenye barabara kubwa
Duuuh..aisee sikuwah kuwaza hivoNdio tena kama mpya na Road imenyoook TVS unaenda hadi kilomita 65
Yaan kutoka UBUNGO mataa mpk RUVU darajani pale safii kwa lita moja tu unatoboa
Ni kweli kabisa mkuu heshima barabarani ndio jambo la msingi halafu usiende mwendo mkali sana binafsi huwa nikienda speed kubwa nagotea 60 na ukiangalia mtu ambae anaendesha speed ya kawaida hata akipata ajali zinakuwa azina madhala sanaMi nimewahi miliki pikipiki mbili tu, KTM cc390 na CBR cc650. Nilipewa maangalizo mawili makubwa Wekeza Sana kwenye Usalama wako (Safety Gears) na kua na heshima sana barabarani.
Usichukulie poa.
Unakuta mtu anaendesha pikipiki na sendo. Aisee. Ukiangimuka unapoteza vidole vyote.
Bila kofia ngumu. Au anavaa kofia ya elfu 15 sijui zile unapewa bure ukinunua pikipiki. Siwasemi ila hamna kitu pale.
Unaendesha na vest, shati, bila koti.
Etc etc etc
Wekeza sana kwenye safety gear, kuan na heshima usiendeshe kama una haraka umeacha familia umeenda kutafuta ugali wanataka jioni urudi sio wao waje hospital kukuona.
YeahWekeza sana kwenye safety gear, kuan na heshima usiendeshe kama una haraka umeacha familia umeenda kutafuta ugali wanataka jioni urudi sio wao waje hospital kukuona.
Ahsante mkuu pia hili swala la uvaaji wa kofia ngumu ni tatzo hz element % kubwa ya wasafirishaji wanazivaa tu kama kuegesha ili wasisumbuliwe na na maafisa usalama lakini sio kulinda usalama wa vichwa vyaoYeah
Asilimia kubwa ya taarifa mbaya, (bad publicity) ya usalama wa boda ipo kwenye ujinga na upumbavu wa waendeshaji. Kutovaa gear kiusahihi.
Lakini pia tena kuna shida ya vyombo vyetu vya viwango. Hivii anayepitisha ubora wa kofia ngumu (ile helmet) huwa amefumba macho? TBS mpo wapi.?
Siku nimepakizwa na boda helment yake ikadondoka kwa upepo. Kumuuliza alikuwa hajafunga kimkanda? Kasema amefunga na eti kamekatika kwa upepo! Upepo kweli imagine?
Helment yangu ya sifuri pia ilikatika kale ka strap yaani out of normal use! Hata sio ajali. Nayo niliichukua tu emergency kabla sijanunua helment yangu ya kwanza.
Swali kwa TBS, ile kofia ngumu inapitishwaje kama haijakidhi? Kamba hukatikia pabovu. Msiruhusu ubovu kwenye kitu kinachojinasibu kama 'mimi ni kofia ngumu ya usalama'
Ndio maana maafisa usafirishaji wenyewe wanalalamika kwamba kuvaa helment ni usumbufu tu, kwanza kwenye ajali yenyewe ndiyo inaanzaga kuchomoka. Sa ndo nini.
Anyway kwa mleta mada Travellerman Pikipiki haina mambo ya kuumiza kichwa kuhusu fuel consumption, kuwa na amani kabisa kwa kipengele hicho.
Jana maeneo ya puma headquarters ( kama unatokea port geti namba 3 kuelekea kamata).Mi nimewahi miliki pikipiki mbili tu, KTM cc390 na CBR cc650. Nilipewa maangalizo mawili makubwa Wekeza Sana kwenye Usalama wako (Safety Gears) na kua na heshima sana barabarani.
Usichukulie poa.
Unakuta mtu anaendesha pikipiki na sendo. Aisee. Ukiangimuka unapoteza vidole vyote.
Bila kofia ngumu. Au anavaa kofia ya elfu 15 sijui zile unapewa bure ukinunua pikipiki. Siwasemi ila hamna kitu pale.
Unaendesha na vest, shati, bila koti.
Etc etc etc
Wekeza sana kwenye safety gear, kuan na heshima usiendeshe kama una haraka umeacha familia umeenda kutafuta ugali wanataka jioni urudi sio wao waje hospital kukuona.