Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Nilipita pale nikakuta Bodaboda zimejaa, wakasema kuna jamaa kapata ajaliJana maeneo ya puma headquarters ( kama unatokea port geti namba 3 kuelekea kamata).
Kuna jamaa kamwaga ubongo pale, alikua na SUZUKI 1200 cc, three pipes. Alikua akitokea ile njia ya bandarini kuelekea town, sasa maeneo yale kuna mkeka safi wa kuvutia lakini kuna kona za kizushi.
Jamaa katokea huko kajiachia kwenye ile barabara, ghafra bin vuu anakutana na sharp corner, bike ikamshinda akaenda chini, kichwa kikapiga kwenye ngema ubongo wote ukamwagika.
Hakuvaa helment zaidi ya miwani tu.
Yatakua GSX-R duh watu wanazizoea wanachukulia poa.Jana maeneo ya puma headquarters ( kama unatokea port geti namba 3 kuelekea kamata).
Kuna jamaa kamwaga ubongo pale, alikua na SUZUKI 1200 cc, three pipes. Alikua akitokea ile njia ya bandarini kuelekea town, sasa maeneo yale kuna mkeka safi wa kuvutia lakini kuna kona za kizushi.
Jamaa katokea huko kajiachia kwenye ile barabara, ghafra bin vuu anakutana na sharp corner, bike ikamshinda akaenda chini, kichwa kikapiga kwenye ngema ubongo wote ukamwagika.
Hakuvaa helment zaidi ya miwani tu.
Mkuu ukiwa unaendesha IPO ON au ikiwa OFF?Naomba kuuliza lita 1 ya petrol inaweza kutembea kilomita ngapi kwa pikipiki za TVS
Kingine naomba kujua bei ya petrol lita 1 ni shilingi ngapi kwa sasa.
Naona bike nyingi saizi zimeingia kutokea Zenji, Honda CB400 Super Four mpaka za 2008 watu wameingiza zina usajili wa ZanzibarYatakua GSX-R duh watu wanazizoea wanachukulia poa.
Napenda ila ugali mtamu aiseeNaona bike nyingi saizi zimeingia kutokea Zenji, Honda CB400 Super Four mpaka za 2008 watu wameingiza zina usajili wa Zanzibar
Afya muhimu sana, barabara za Dar sio rafiki kwa mtu wa bike na madereva magari sio makini wanaona mtu wa bike hana haki ya kutumia roadNapenda ila ugali mtamu aisee
Acha kujidanganyaLita unakwenda wiki kwa misele ya dar
Kilometers 50Acha kujidanganya
TRUE STORYKuendesha bike Dar inabidi kichwa kisiwe na stress na uvae safety gears zote
Yeah, ilikua jumamosi majira ya saa 10-11 jioniNilipita pale nikakuta Bodaboda zimejaa, wakasema kuna jamaa kapata ajali
Namimi ninampango wa kuchukua CBR 600 just for fun tu mara moja moja, kuna mrembo yupo insta anaitwa maryam, tag yake ni (amam23)Naona bike nyingi saizi zimeingia kutokea Zenji, Honda CB400 Super Four mpaka za 2008 watu wameingiza zina usajili wa Zanzibar
Kwa sasa bike mimi na kuichezea hapana, bora nifanye safari ndefu.Namimi ninampango wa kuchukua CBR 600 just for fun tu mara moja moja, kuna mrembo yupo insta anaitwa maryam, tag yake ni (amam23)
Demu anani inspire sana kwenye michezo ya bikes
Yani inabidi uwe makini muda woteNatumia TVS cc125 aisee naokoa gharama sana Kuna wakati naweka mafuta ya 6000 natembea hadi nasahau
Ila Cha kuzingatia ni uendeshaji mara nyingi naishia 50 speed changamoto ni magari unapaswa kuwa makini kupitiliza
Kasumba iliyozoeleka sana kwa madereva wa pikipiki zisizofanya usafirishaji wa abiria hii ya kutovaa helmet ni mojawapo; nyingine ni kuvaa flana au shati/t-shirt tu. Na aghalabu polisi hawajishighulishi nao.Jana maeneo ya puma headquarters ( kama unatokea port geti namba 3 kuelekea kamata).
Kuna jamaa kamwaga ubongo pale, alikua na SUZUKI 1200 cc, three pipes. Alikua akitokea ile njia ya bandarini kuelekea town, sasa maeneo yale kuna mkeka safi wa kuvutia lakini kuna kona za kizushi.
Jamaa katokea huko kajiachia kwenye ile barabara, ghafra bin vuu anakutana na sharp corner, bike ikamshinda akaenda chini, kichwa kikapiga kwenye ngema ubongo wote ukamwagika.
Hakuvaa helment zaidi ya miwani tu.
3200-3400 per liter depending on your location,TVs inakadiriwa ikimbie 60-70 km/liter,ila sijawi endesha kudhibitisha me nimezoea snlg huwa Niko weka mafuta ya elfu 30 nakata mwezi na kidogo kilingana na rout zanguNaomba kuuliza lita 1 ya petrol inaweza kutembea kilomita ngapi kwa pikipiki za TVS
Kingine naomba kujua bei ya petrol lita 1 ni shilingi ngapi kwa sasa.