Lita 1 ya petrol inaweza kutembeza pikipiki ya TVS kilomita ngapi?

Bei zinatofautiana kutokana na mkoa uliopo.

Kwa Dar Petrol kwa sasa ni 3200 Tsh.

TVS vina engine ndogo cc 125 vinaweza kwenda hadi kilometa 50 kwenda juu, factors zipo nyingi mfano uendeshaji, milima au tanbarare, mzigo uliobeba service history...
++
hata tvs zina injini zenye ukubwa tofauti.
-za cc110 inaenda hadi km 65-70 toleo la nyuma kidogo. shoo ya mbele kubwa sana. wanazo kwa wingi rwanda na drc
-za cc 125 zinakula 45-50
-cc 150 hadi 40

matokeo ya unywaji hutegemea mambo mtambuka: upya wa oil, chain adjustments, upepo wa matairi, gear engagement, hali ya barabara (mchanga, lami, changarawe, miinuko na tambarare), ukubwa wa mizigo na ujuzi wa dereva
 
🙏🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…