BCM yeye alikuwa anakubalika na cdm kama kachero mbobezi. Sijui huyuTISS wanafanya kazi kwa ajili ya CCM. Siyo Tanzania , or for that matter Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gamba huyooo,katumwa.Akiwa live kupitia line ya simu katika East Africa Radio mtia nia wa kugombea urais kupitia CHADEMA, Mayrose Majinge amesema yeye amejiunga Chadema toka mwaka 2013 hivyo sio mgeni ndani ya CHADEMA.
Pia ameahidi kuleta siasa safi na maendeleo makubwa ndani ya nchini.
Akijibu swali la mtangazaji la kwanini anaonekana anataka kugombea urais kupitia CHADEMA na huku hawajui viongozi wa Chadema je atapangaje baraza la mawaziri? Mayrose Majinge amejibu kuwa yeye hana muda wa kuclaim viongozi wa Chadema na urais ni taasisi hivyo baraza la mawaziri hilo litapangwa na taasisi ya urais na sio yeye peke yake.
Mambo yamepamba moto.
Wanajihangaisha ccm kuweka mapandikizi. Kama ya Mwambe iligo
ma, huyu anajisumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna insider CDM nimeongea naye akasema mbona hilo wanalijua toka zamani kupitia inteligensia yao! Kuqweni na Amani kama la Mwambe walivyokuwa wanalijua by 100%Washagonga mwamba
In God we Trust
Kuna insider CDM nimeongea naye akasema mbona hilo wanalijua toka zamani kupitia inteligensia yao! Kuqweni na Amani kama la Mwambe walivyokuwa wanalijua by 100%
Bila tume huru ya uchaguzi ataishia kunawa, amuulize LowasaMembe anarudi kaka, uhuni waliomfanyia wanachama wameugomea....wanachama wa kusini wameapa kufa na Membe ije mvua ama jua...panakwenda kuchimbika.
Ok kwani uchaguzi wa UWT ulikuwa lini?kabla ya kujiunga CDM au baada anaejua atusaidieDr. Mayrose Majinge sasa yuko live, amekaribishwa, amejitambulisha kuwa amejiunga Chadema toka July 13, 2013.
P
Sasa kaka Mayalla,,,wengine tunataka kusikiana alichosema Mtuliya wewe umehama station kwanini lakini umefanya ukatili huo?Saa hizi ndio tunamsubiria, Dr. Mayrose Majinge atiririke...
P
Sema mwenye chama hujapata hela za uwekezaji wake hivyo hawezi kumpa hiyo nafasiHuyu ni TISS, taarifa zake Kigogo2014 ameshazitoa. Msaliti. Kama hakuna.mgombea afadhali CDM isisimamishe mgombea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ng'wana ngw'ise unajikuuuuta kisa wewe ni comrade kuandika tu neno KUSIKILIZA HUWEZI UNAANDIKA KUSIKIZA!Huyu mtangazaji wa kiume ni kilaza fulani!,
Sawa kama mwenye CCM anavyowaendesha kama vifaranga wake. Ngoja nione kama kuna mtu atatia nia ya urais!Sema mwenye chama hujapata hela za uwekezaji wake hivyo hawezi kumpa hiyo nafasi
Mbona ukilinganisha chapati kwa andazi??Sawa kama mwenye CCM anavyowaendesha kama vifaranga wake. Ngoja nione kama kuna mtu atatia nia ya urais!