Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Kwa kigezo kipi ulichotumia ?Afaa awe mgombea mwenza na siyo mgombea kamili
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kigezo kipi ulichotumia ?Afaa awe mgombea mwenza na siyo mgombea kamili
Ngoja siku ifike tushuhudie mtanangeMembe anarudi kaka, uhuni waliomfanyia wanachama wameugomea....wanachama wa kusini wameapa kufa na Membe ije mvua ama jua...panakwenda kuchimbika.
Siyo rahisi kwa mwanamke kuchaguliwa kuwa Rais wa Tz bado mfumo dume unasumbua sn
Kundi wanaojitolea kufa kwa ajili ya chama, siyo hawa wa kutafuta kuteuliwa. Hajawahi kusikika katika mateso ya CDM, anajitokeza Leo kutaka kuteuliwa. Never! Let people and these are opponents make any interpretation they deem very attractiveMnajuaje kuwa Dr Lwaitama siyo TISS ila huyo mama ni TISS?
Sasa hivi hata akishindwa mmeshamtengenezea sababu za kuwachafueni kuwa mmenyima nafasi kwa zengwe which will be a fatal blow kwa chama again.
Kama mnaamini ni pandikizi why msisubiri mchakato wa kuteua wagombea mkameliminate intellugibly badala ya kushambulia huku mitandaoni tena kwa kutumia source za kigogo tu ?
Siku hizi CHADEMA you are losing focus kwenye mambo ya msingi badala yake na nyie mnafanya siasa za kuattack personality za wanachama wenu wenyewe badala ya kufight with your common enemy ccm.
Hii inanipa picha moja kubwa kuwa sasa hivi kitengo chote cha propaganda cha chama ni faulty and it needs an overhaul.
Chama hakiwezi kukwepa wanachama aina hiyo kama ni kweli ni pandikizi but her elimination should be done intelligibly siyo hiki mnachokifanya humu hii inahalalisha hoja za maadui wenu kuwa chama ni cha kundi fulani tu siyo cha watanzania wote.
You should go back to basis guys otherwise you are inflicting blows yourselves which is an advantage to your opponents.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama hakipaswi kutumia hicho kigezo kama sifa ya kumnyima mtu nafasi apimwe katika mizania sawa na siyo kigezo cha mfumo dume.Siyo rahisi kwa mwanamke kuchaguliwa kuwa Rais wa Tz bado mfumo dume unasumbua sn
Shida siyo ndani ya Chadema shida ipo kwa wapiga kuraChama hakipaswi kutumia hicho kigezo kama sifa ya kumnyima mtu nafasi apimwe katika mizania sawa na siyo kigezo cha mfumo dume.
Kama chama kinaamini katika usawa kutumia mfumo dume wa nchi ni kupropagate vitu vinavyofuta dhana ya usawa katika chama na taifa CHADEMA should avoid this.
Na chama kimeweza kuwaamini kina mama wengi tu kupeperusha bendera majimboni na wakafanikiwa kwanini tusiwaamini na urais ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lowasa alipitia Mateso gani mpaka akapewa nafasi ya kugombea urais ?Kundi wanaojitolea kufa kwa ajili ya chama, siyo hawa wa kutafuta kuteuliwa. Hajawahi kusikika katika mateso ya CDM, anajitokeza Leo kutaka kuteuliwa. Never! Let people and these are opponents make any interpretation they deem very attractive
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Chadema kama huoni kuwa kuna mateso ambayo wanachama wa kweli wanayapitia, na hujawahi kukemea na kuonyesha kuwa unakelwa na kinachowapata Chadema, wewe unasubiri kuteuliwa, huwafai. Lazima use brushed immediatelySiyo kila mwanachama wa CHADEMA lazima apitie mateso wanayoyapitia viongozi wa juu wa chama.
Lowassa alipewa nafasi ya kugombea urais uliwahi kuona au kumsikia akipitia mateso waliyoyapitia wanachadema ?
Na wala kupitia Mateso kama mwanachama hakijawahi kuwa kigezo cha mtu kupewa nafasi ya kugombea katika CHADEMA.
Tumieni muda huu kuchambua sera zake na kuzikosoa badala ya kujikita kujadili utiss na uanachama wake wa nyuma which has nothing to do with your prosperity as a political party .
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo unampinga magufuli ambaye ndiye mkurugenzi wa kipindi hapa TanzaniaBut interview imekua ya hovyo sana
Hawa watangazaji wote ni hopeless ndio maana sisikilizi hardtalk yeyeto siku hizi kwenye media za Tanzania
Good voters ni wanawake huoni kuwa itakuwa ni karata muhimu ya kupata kura za kina mama ?Shida siyo ndani ya Chadema shida ipo kwa wapiga kura
Kwahiyo CHADEMA kina wanachama wa kweli na wanachama wasio wa kweli ?Kwa Chadema kama huoni kuwa kuna mateso ambayo wanachama wa kweli wanayapitia, na hujawahi kukemea na kuonyesha kuwa unakelwa na kinachowapata Chadema, wewe unasubiri kuteuliwa, huwafai. Lazima use brushed immediately
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nakuunga mkono, kama mwanamke ana sifa, si sahihi kuleta ushenzi wa mfumo dumeChama hakipaswi kutumia hicho kigezo kama sifa ya kumnyima mtu nafasi apimwe katika mizania sawa na siyo kigezo cha mfumo dume.
Kama chama kinaamini katika usawa kutumia mfumo dume wa nchi ni kupropagate vitu vinavyofuta dhana ya usawa katika chama na taifa CHADEMA should avoid this.
Na chama kimeweza kuwaamini kina mama wengi tu kupeperusha bendera majimboni na wakafanikiwa kwanini tusiwaamini na urais ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio shida ya kutanguliza ushabiki. Ni nani aliyesema asigombee? Ni kiongozi gani wa Chadema amesema asigombee. Ni wapi nimemzungumzia mtu anayeitwa kigogo? Mtu yeyote anayetaka kugombea nafasi yeyote ya uongozi ( hata za ukaka mkuu) ni lazima wategemee kuulizwa maswali. Hiyo ndio demokrasia. Kwa kuulizwa maswali na kutupiwa tuhuma mapema kunampa nafasi ya kutosha ya kuyatolea maelezo kabla ya uteuzi kufanyika na kuwathibitishia wanachama wenzake kuwa hazina msingi wowote. Ni watu kama nyinyi ndio hamumtakii mema kwa kumtaka alelewe kama yai. Madongo hasa yatakuja pale atakapokuwa mgombea wa urais na kuonyesha kuwa kweli amepania kuchukua urais. Ndiyo siasa ilivyo.Kila mwanachama ana haki ya kugombea haijalishi ana uwezo au hana uwezo wa kupata anachogombea.
Kama mnatumia kigogo kama authoritative source ya taarifa kwa wanachama wenu then you are lost.
Huyo mama aachwe agombee mchakato ukifika tutajua chama kitampitisha au lah badala ya kuanza kumpaka mavi mapema namna hii.
Mtajitofautisha na siasa za majitaka za ccm kama hata wanachama wenu wa ndani hamuwaamini ?
Mwacheni agombee ndiyo demokrasia yenyewe awe TISS au whatever itajulikana her hidden intentions lakini siyo kuanza kumbagaza na vitu vya kusadikika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo unampinga magufuli ambaye ndiye mkurugenzi wa kipindi hapa Tanzania
Mama Anna Mgwira alikuwa mwanaume 2015 au hawakumuona?Good voters ni wanawake huoni kuwa itakuwa ni karata muhimu ya kupata kura za kina mama ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapandikizi toka CCM ndionwasio wakweli. So umemuona kavva dela LA CCM, leoneti anataka kugombeà. Afilie kwa mbali hukoKwahiyo CHADEMA kina wanachama wa kweli na wanachama wasio wa kweli ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kumsikia katika mateso ya wanachadema, leo eti anataka kuwa rais kutokea CDM.
Yalifanyika makosa, yasirudiweLowasa alipitia Mateso gani mpaka akapewa nafasi ya kugombea urais ?
Sent using Jamii Forums mobile app