Nono
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 1,543
- 661
Tuzaiva mghoshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzaiva mghoshi
Huyu ni agent was CCM kupitia TISS, hapo CCM mmepotea tens. Jaribu wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini chama hakiwezi kuishi with such a splendid isolation.
Ni ngumu kutokuwa na wanachama wa aina hiyo kwenye chama kikubwa kama CHADEMA na yawezekana wakawa loyal kwa chama kuliko Lijualikali na Silinde.
Chama cha CHADEMA lazima mjifunze kuwa chama kikubwa ambacho kwa vyovyote vile ni lazima kifanye recruitment ya wanachama kutoka kwenye taasisi muhimu za serikali kama hiyo pamoja na jeshini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bulaya Utamlinganisha na huyu TISS wenu?Na bulaya sio pandikizi?
Majibu ya maswali haya ni yale yale ya miaka yote ya kwenye Essay mkuu i.e cheap labours,land degradation,Soil Erosion,Industrial revolution,Abolition of slave trade,Lack of infastructures.Shukrani Mkuu P.
Kwakuwa katia nia, hongera zake.
Lakini,
Binafsi nina tatizo sana na hawa watangazaji wa hivi vipindi vya asubuhi, sijajua ni kitu gani kimewakumba. Ama sijui ndo 'cheap labour' sijui. Unaweza kuhisi labda unasikiliza kipindi cha 'mipasho' hivi. Hakuna uchambuzi wa maana, ushabiki umewajaa, hakuna flow ya mazungumzo full vurugu.
Zama zile ilikuwa ni source nzuri ya habari...kuna kitu kinakosewa pahala sio bure.
Nimeamua kusikiliza audio zangu ziwe ni nyimbo au vitabu.
Shukrani Mkuu P.

wanawake wengine wauza tigoKumnyima kura mwanamke nikutojitambua nakushindwa kujuwa/ samani ya Mwanamke kama mama mzazi
Sijawahi kumsikia katika mateso ya wanachadema, leo eti anataka kuwa rais kutokea CDM.Mimi sijasema lazima apewe, nimesema mwacheni atangaze nia badala ya kuanza kumpaka mavi mapema namna hii mtakuwa hamna tofauti na siasa za majitaka za ccm.
Siasa za kupakana shombo hazina tija yoyote kwa taifa na wala hazitakiwi kufanywa na chama makini kama CHADEMA.
Au mmeshaondoka kwenye hii grade ya chama makini kinachoheshimu utu wa watu kwa mujibu wa ibara yenu ya 3 ya katiba ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnajuaje kuwa Dr Lwaitama siyo TISS ila huyo mama ni TISS?Nakubaliann na wewe lakini Siyo haya mapandikizi. Kumleta mtu kama huyo labda awe kama Dr Lwaitama! kwa mfano
Hukutaka kusikiliza utumbo wa MtuliaWanabodi,
Wenye access fuatilieni hii
View attachment 1459783
Wanabodi, kiukweli huwa nasikiza Radio asubuhi mara chache sana, niwapo njiani kwenye gari, na station ninayosikilizaga sio EA Radio, lakini leo nimeamua kuisikiliza hii Redio Redio baada tuu ya kuona hili tangazo ili nimsikie huyu dada.
Watangazaji walisema, Dr. Mayrose Majinge atakuwa live kuanzia saa 1:00 asubuhi.
Two minutes kwa Redio is a long time, wasikilizaji tumeambiwa mgeni atazungumza kuanzia saa 1:00, saa hizi tunakwenda saa 1:25 and no mention ya mgeni!, no excuse ya kuchelewa!.
Kwavile mimi nilisomea utangazaji wa Redio na kuajiriwa RTD, tulifunzwa ukitangaza kitu fulani muda fulani, huo muda ukifika bila hicho kuwepo unaomba excuse.
Dr. Mayrose Majinge sasa yuko live, amekaribishwa, amejitambulisha kuwa amejiunga Chadema toka July 13, 2013.
Swali la kwanza, mtangazaji wa kiume akamuuliza yuko Chadema toka lini?.
Huyu mtangazaji wa kiume ni kilaza fulani!, mtu amejitambulisha yuko Chadema toka lini halafu hapo hapo unamuuliza amejiunga lini Chadema!. Kiukweli hawa watangazaji vilaza wa type hizi ni majanga kwa media zetu, kutafunya sisi watangazaji wengine wote tuonekane kama vilaza fulani!.
Swali la pili, mtangazaji wa kiume, akamuuliza, ulikuwa CCM na uligombea Uenyekiti wa UWT, imekuwa tena leo uko Chadema?.
Ndio swali gani hili?.
Akajibiwa ni kweli nilikuwa CCM na kweli niligombea uenyekiti wa UWT, sasa niko Chadema.
Swali la tatu la mtangazaji wa kiume akamuuliza Waziri kivuli wa fedha ni nani?.
Dr. Mayrose Majinge akashindwa kujibu swali hili,
Mtangazaji wa kiume was patronizing this lady!, ndipo mtangazaji wa kike akaingilia kati...
Swali la 4, Mtangazaji wa kike
nini kimsukuma kugombea urais?
Jibu: Nagombea ili kuleta maendeleo makubwa kupitia siasa safi.
Swali la 5, jee Tanzania tuna siasa safi?.
Jibu ni Tanzania hatuna siasa safi, hivyo nagombea kuleta siasa safi nchini.
Swali la 6 mtangazaji wa kike, nini sera zako?
Jibu: Huu sio wakati wa kutangaza sera, hapa nimetangaza nia tuu na sio sera, sera zitatangazwa na chama kupitia ilani ya uchaguzi ya Chadema.
Swali la 7 mtangazaji wa kiume.
Kwa sasa una wadhifa gani Chadema?.
Jibu: Sina wadhifa wowote ni mwanachama wa kawaida.
Swali la 8, sasa wewe huna cheo chochote Chadema, unataka kugombea urais wakati hujui hata Waziri kivuli wa fedha?, utawezaje kuwa rais?.
Again this is patronizing question!.
Jibu: sio simjui bali sitaki kumchanganya kutokana na kuwa busy na maandalizi haya!. Urais ni Taasisi, kazi ya urais sio ku crame majina ya viongozi bali ni utekelezaji wa pamoja.
Thats a lame excuse!.
Mtangazaji wa kiume aliendelea kukomaa nae, mtangazaji wa kike akamkatisha kuwa tutaendea baadaye.
Hiyo baadae ilipofika, Studio akaingia Mtulia, Mbunge wa Kinondoni.
Nami nikahama station.
Nimeisha hapa, asante kufuatilia.
Paskali
Karibu pande hizi.
P
Afaa awe mgombea mwenza na siyo mgombea kamiliWanabodi,

Si unaona walichomfanyia Membe?CDM kweli kuna demokrasia pana, mtaa wa saba nasikia kutangaza nia ya kugombea Urais ni kosa la jinai na kuchukua form ni kosa la uhaini.....!!!
Membe anarudi kaka, uhuni waliomfanyia wanachama wameugomea....wanachama wa kusini wameapa kufa na Membe ije mvua ama jua...panakwenda kuchimbika.Si unaona walichomfanyia Membe?
Siyo kila mwanachama wa CHADEMA lazima apitie mateso wanayoyapitia viongozi wa juu wa chama.Sijawahi kumsikia katika mateso ya wanachadema, leo eti anataka kuwa rais kutokea CDM.
Kwaiyo mamako na babako ni machiziNa ndiyo maana tunasema ukishakuwa na akili za kiccm unakuwa kama chizi,au zuzu hivi,uliwahi kumsikia mbowe akipanga njama zozote za kuwadhuru wanachama wake? Acha akili ijiamulie la kusema siyo tumbo
Sent using Jamii Forums mobile app