Live from Hyatt Regency: Mkutano wa Waziri Prof. Kitila Mkumbo, TIC na EPZA na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri, (TEF)

Live from Hyatt Regency: Mkutano wa Waziri Prof. Kitila Mkumbo, TIC na EPZA na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri, (TEF)

MIRADI ndio imekuwa Miradi yaani kufanikisha haya makongamano na kupiga brah brah brah za kutosha inaleta kuliko ufanyaji wa kile kinachoongelewa kifanyike. Too many Pen Pushers...
 
Kuzipima Mamlaka za serikali za mtaa jinsi zinavyoboresha mazingira ya biashara.
P
Naomba umuulize hili swali

"Serikali inakabiliana vipi na mawaziziri pamoja na viongozi wasio waaminifu wanaoenda nchi za nje kuwapanga wawekezaji ili waje TZ kisha kujifanya wanatangaza tenda ktk miradi ya umma na kuwapa kazi walio wapanga kwa makubaliano ya 10% namaanisha udalali"

Akikujibu ni tag
 
Prof Kitila amesema ili Tanzania tupige hatua za maendeleo kwa haraka, lazima tuwe changing mind set,akashanga tuko kwenye karne ya sayansi na teknolojia,haiwezekani za sekondari hairuhusiwi kuwa na simu,iPad au computers?。

lakini mkumbushe pia kuongea pasipo kutekeleza, ni kuidanganya nafsi yako mwenyewe.

Huwezi kuongea maono mazuri mbele za watu, lakini ukiwa nyuma ya korido. Hau support kuhusu uwekezaji mzuri wa elimu.
* Maslahi ya walimu, ili kuboresha mazingira yao
 
Japo hapa sii mahala pa swali hili, japo mimi ni mtu wa kawaida tuu, na mwandishi wa kawaida tuu, kuna watu wananiogopa!, enzi za kipindi changu cha kiti moto, kuna viongozi walikuwa wakialikwa, wanakimbia!. Maswali yangu hayatabiriki!.
P
Teh teh teh 😃 😃... Lile swali lako kwa JPM bado linakumbukwa..
 
TIC imesajili miradi zaidi ya miradi 900!, imezalisha ajira zaidi ya laki mbili, imevutia miradi ya dola zaidi ya bilioni 9!. -Prof. Kitila.
P.
Unanikumbusha Yale ya yule waziri wa Magufuli wa cherehani nne tayari kiwanda na hata kuokoto makopo ni ajira.
 
Back
Top Bottom