Live From Kebby's Hotel in JF Dar-Wing, WHITE PARTY!!!!!

nimekula bwimbwi ndio sababu toka saa 2 mpaka sasa niko huku jf

Inaonesha umekunywa chai ukalumangia na mbilimbi...sio bure.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
We figganigga n'take radhi.
Nani aliondoka na Thanda,ye si alienda kulala Hotelini pale Morocco.
Me nikasepa,au hukumuona yule Baunsa aliyenifata na Rav 4?
Chezea.

I left with figganigga and my Thando came to pick coz I was already tired ever since I was at JNIA.
Pliz figganigga send your apology to Madam B. Figganigga left me at morocco. Thando confirm please.

Copy : Mtambuzi, KakaKiiza, amu, Bujibuji, gfsonwin
, Maxence Melo, @lara1 aka Igweeeeeeeeeeeeeeee.
 
Last edited by a moderator:
Kipipi SHOST JIONEE MWENYEWE SASA HIYO HAPO NILICHOKUAMBIA SIKU ILE . [h=3]1 point(s) total[/h]Reason Date Expires Points
  • PrivateReason: Insulted Other Member(s) 14th January 201317:00by Marry Hunbig 24th January 201317:00 1

Duh . . . aisee watu8 eti niangalizie hii msg ilivyo!
 
Last edited by a moderator:
teh teh...anatishia kutoa mashuzi wakati ana uharo' first degree!!! yaan ule ambao ukiona tu neno TOILET hali inakua tete...

Marry Hunbig katisha . . . . yaani mpaka kujifanya moderator na kumtumia ujumbe wa hivyo mwenzie!!!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mimi na bakhresa damdam t
Huyu jamaa huwa anakurupuka sana....acha tuende nae sambamba...
Nimemuona amu na boxi la juice ya azam anakatiza mitaa ya posta.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hapa sijaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…