Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekula bwimbwi ndio sababu toka saa 2 mpaka sasa niko huku jf
..leo cjui yuko wapi..@ amucc: amu njoo ukanushe tena
We figganigga n'take radhi.
Nani aliondoka na Thanda,ye si alienda kulala Hotelini pale Morocco.
Me nikasepa,au hukumuona yule Baunsa aliyenifata na Rav 4?
Chezea.
Duh . . . aisee watu8 eti niangalizie hii msg ilivyo!Kipipi SHOST JIONEE MWENYEWE SASA HIYO HAPO NILICHOKUAMBIA SIKU ILE . [h=3]1 point(s) total[/h]Reason Date Expires Points
PrivateReason: Insulted Other Member(s) 14th January 201317:00by Marry Hunbig 24th January 201317:00 1![]()
Marry Hunbig katisha . . . . yaani mpaka kujifanya moderator na kumtumia ujumbe wa hivyo mwenzie!!!!Heheh...ngoja nisake kamusi yangu kwanza...hiyo ka lugha ya mtu aliyebana pua hivi!!!
Marry Hunbig katisha . . . . yaani mpaka kujifanya moderator na kumtumia ujumbe wa hivyo mwenzie!!!!
Marry Hunbig katisha . . . . yaani mpaka kujifanya moderator na kumtumia ujumbe wa hivyo mwenzie!!!!
cc: amu njoo ukanushe tena
I left with figganigga and my Thando came to pick coz I was already tired ever since I was at JNIA.
Pliz figganigga send your apology to Madam B. Figganigga left me at morocco. Thando confirm please.
Copy : Mtambuzi, KakaKiiza, amu, Bujibuji, gfsonwin, Maxence Melo, @lara1 aka Igweeeeeeeeeeeeeeee.
kheheheheeh maua ya white party hayo yanaanza kuchanua mi nilikuwa pale garden niliangalia zile sura nikaona wooooote wamekaa kiwiziwizi yaanai watoto ya mujini janjajanja nikasema lol nijinyamazie hapa niicheki hii muvi au sio kaka yangu Mwita Maranya ? khekhekehe Vin Diesel sema haraka anaelekea upande gani kama ni anaelekea kule OHIO kesha mnasa yule ndege wangu aiseeeee amu jiangalie kwanza umepata ule ushungi wako uliouacha kwa kipaji halisi kweli?
Kwani hujui mwisho wa mwezi ukifika una mambo??
Nilitaka sana kuja ila ndo hivyo . . . . .sikuwa na jinsi zaidi ya kuobey yalo muhimu zaidi!Yan mh Kipipi pamoja nakukuandalia zawadi ya pipi hukutokea! Why,why!