Live From Kebby's Hotel in JF Dar-Wing, WHITE PARTY!!!!!

Live From Kebby's Hotel in JF Dar-Wing, WHITE PARTY!!!!!

We figganigga n'take radhi.
Nani aliondoka na Thanda,ye si alienda kulala Hotelini pale Morocco.
Me nikasepa,au hukumuona yule Baunsa aliyenifata na Rav 4?
Chezea.

I left with figganigga and my Thando came to pick coz I was already tired ever since I was at JNIA.
Pliz figganigga send your apology to Madam B. Figganigga left me at morocco. Thando confirm please.

Copy : Mtambuzi, KakaKiiza, amu, Bujibuji, gfsonwin
, Maxence Melo, @lara1 aka Igweeeeeeeeeeeeeeee.
 
Last edited by a moderator:
Kipipi SHOST JIONEE MWENYEWE SASA HIYO HAPO NILICHOKUAMBIA SIKU ILE . [h=3]1 point(s) total[/h]Reason Date Expires Points
  • redcard_small.gif
    PrivateReason: Insulted Other Member(s) 14th January 201317:00by Marry Hunbig 24th January 201317:00 1

Duh . . . aisee watu8 eti niangalizie hii msg ilivyo!
 
Last edited by a moderator:
teh teh...anatishia kutoa mashuzi wakati ana uharo' first degree!!! yaan ule ambao ukiona tu neno TOILET hali inakua tete...

Marry Hunbig katisha . . . . yaani mpaka kujifanya moderator na kumtumia ujumbe wa hivyo mwenzie!!!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mimi na bakhresa damdam t
Huyu jamaa huwa anakurupuka sana....acha tuende nae sambamba...
Nimemuona amu na boxi la juice ya azam anakatiza mitaa ya posta.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hapa sijaelewa
kheheheheeh maua ya white party hayo yanaanza kuchanua mi nilikuwa pale garden niliangalia zile sura nikaona wooooote wamekaa kiwiziwizi yaanai watoto ya mujini janjajanja nikasema lol nijinyamazie hapa niicheki hii muvi au sio kaka yangu Mwita Maranya ? khekhekehe Vin Diesel sema haraka anaelekea upande gani kama ni anaelekea kule OHIO kesha mnasa yule ndege wangu aiseeeee amu jiangalie kwanza umepata ule ushungi wako uliouacha kwa kipaji halisi kweli?
 
Back
Top Bottom